Wasichana wengine ni waajabu na wabaya kweli!

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya.

Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu.

Nikajikuta mwili umesisimuka,bila kusita nikamwomba namba naye akanipatie.

Ujeuri wa dada yule siwezi kusahu,akanipatia number za mwanaume,kila ninapogia hupokea mwanaume.

Hivi kosa langu ni lipi?
 
Wewe sio waajabu na ni mzuri kweli.
Usilazimishe kila mtu aendekeze tamaa zako.
 
Lol! Alikustahi kukuambia hataki! Kila msichana anaekuvutia unamuomba namba? Unahitaji secretari na mpiga picha ili usichanganye madesa!
 
Unaomba namba humo humo lecture room na mwalimu yumo au?? Lol.....nimeipenda hiyo shortcut, hakuna kupoteza muda!!!
 
heee umeileta tena?
Kweli imekuuma
mwili ukikusisimka tu unaomba namba?
Namba ya simu sio njugu kila mtu unampa, kakupa ya mtu wake anamaanisha hataki usumbufu!

Usione vyaelea vimeundwa, wenzio wanatunza wewe unasisimka!

Usipoangalia phonebook itajaa namba za warembo wakusisimuao!
Happy new year
 
Mmzoea kila mwanamke ni wa kutongozwa.
Wanakusisimua wangapi kwa siku?
Namfagilia sana huyo dada. Tena kakuheshimu sana, pengine angekutaariza je?
 
Aisay huwa wanatokea tokea wanamna hiyo lakini mimi huwa siwaombi number zao za simu wala siwasifu na watazama tu.

Mpaa demu mwenyewe anauliza mbona unanitazama sana, na mimi namgeuzia kibao nani anaye mtazama hapa mwenzie mimi au wewe.

Afu namwambie lione vile kwanza huna uzuri wowote.

Sasa mshikaji hapo nadhani unajua kinatokea nini baada ya hapo.

Siku njema.
 
Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya.

Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu.

Nikajikuta mwili umesisimuka,bila kusita nikamwomba namba naye akanipatie.

Ujeuri wa dada yule siwezi kusahu,akanipatia number za mwanaume,kila ninapogia hupokea mwanaume.

Hivi kosa langu ni lipi?
Usione vyaelea,ujue vimeundwa na isitoshe Si vyote ving'aavyo ni dhahabu! Pole!
 
Aisay huwa wanatokea tokea wanamna hiyo lakini mimi huwa siwaombi number zao za simu wala siwasifu na watazama tu.

Mpaa demu mwenyewe anauliza mbona unanitazama sana, na mimi namgeuzia kibao nani anaye mtazama hapa mwenzie mimi au wewe.

Afu namwambie lione vile kwanza huna uzuri wowote.

Sasa mshikaji hapo nadhani unajua kinatokea nini baada ya hapo.

Siku njema.

Loser!!
Hamna mjanja anaefanya kazi ya kumshusha mwenzake eti ndio ampate. Siutafute saizi yako tu?
 
Loser!!
Hamna mjanja anaefanya kazi ya kumshusha mwenzake eti ndio ampate. Siutafute saizi yako tu?
Lizzy, sio kila anaye onekana mzuri ni mzuri ndo mana nikasema vile.

Afu Mwanaume lazima ujipende mwenyewe kwanza.
 
Du hii si aliileta some moons back; au michango ile hukuridhika nayo?
 
Du hii si aliileta some moons back; au michango ile hukuridhika nayo?
Yani dogo lazima kachukia sana na yeye mwenyewe anaji let down sana...Mwanaume lazima ujithamini smtimes.

Kama mwanamke kakudharau wewe mdharau mara mbili yake.
 
Sasa kama sio mzuri anaonekanaje mzuri?
Kila mtu ana defination yake ya uzuri...Yani mimi sibabaishwi na uzuri wa sura au wa make up.

Mimi natazama kwanza tabia....Na reason yangu kusema vile kutokana na mwanamke huyo kumlet down dogo, nimejuwa sio mzuri.

Mwanamke mwenye heshima asinge toa wrong number.....Angemfahamisha yule kijana kama ana boi friend au mke wa mtu hivyo hawezi kumpa number yake.

Kuhusu point yangu kusema mwanamke akiwa mzuri na mtazama wala simsemeshi ni true....Huwa na Mtazama tu.

Akianza kunitazama na kuniuliza kwanini na mtazama najua kumbe ni bure tu mana anataka nimsifie.

Kizuri kinasifiwa sio kijiulizishe kama kizuri....Anaposema kwanini na mtazama lazima anatega sikio nimsifie kama yeye mzuri.

Na hapo najua wazi kwamba yeye ni zero tu....simsifiiii maisha yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom