Makamu mkuu wa chuo Udom:Profesa Kikula awadanganya wanafunzi

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Wanafunzi wa chuo cha elimu Udom wamekusanyika utawala mkuu kutaka pesa zao ambazo zimeshafika chuoni,wamesaini lakini hawajalipwa.

Makamu mkuu wa chuo adai pesa zitatoka kabla ya Ijumaa.
 
Panapofuka moshi kuna moto mkuu nadhani wanafunzi hapo wameshaonana dalili za sanaa za maonyesho.Ijumaa haijafika lakini mkuu siku hizi sanaa mpaka ngazi ya familia ndy maana wanaonyesha wasiwasi wao kwa prof.
 
Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo ,
 
tutawaekea wachache ili tupunguze malumbano... Na huku pesa ikawa hiko kwenye process
 
Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo ,

Wewe kama ni critical thnker utakubal kua kauli za Prof hazkua na ukwel kwa kujikanyaga-kanyaga.
 
Sasa si wameshasaini kuwa tayari wameshachukua hela, wanadai nini tena?
 
Back
Top Bottom