Mpenzi wangu aombwa rushwa ya ngono ili apate kazi.

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.

Mue makini dada zangu kwa hili.
 
Mwambie aachane nae na hata kama ana mawasiliano nae aiblock namba ya huyo jamaa km sio kuifutilia mbali kabisa.
Ila asiache na aichoke kutembelea mitandao inayotoa matangazo ya nafasi za kazi na magazeti km Ze Guardian, majira, Daily News. Aombe kadri ya uwezo wake atapata tu!
:A S-coffee:
 
Mpe pole sn,mhimize ackubali huo upuuzi coz akikubali na akipewa hiyo kazi ataendelea kuwa mtumwa wa huyo aliyempa hiyo kazi kwan kila akitaka atamtumia na akileta ubishi atafukuzwa kazi!awe na iman atapata kazi nzuri kwa uhalali tu!
 
Duh mbaya sana ..wanawake wengine wanapigwa mambo wanakula ajira then anajivinjari na wewe kimyakimya
 
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.

Mue makini dada zangu kwa hili.

Mpenzi wako vp kazi anaipenda au haipendi?
 
Back
Top Bottom