Search results

  1. KAKA A TAIFA

    Uchaguzi 2020 ACT, CHADEMA na NCCR pamoja na vyama vitakavyoona ni vema, waungane

    Wamchague gwiji atakayenogesha ushindani na CCM. Mgombea mwenza awe Fatma Karume Waziri Mkuu - Zitto Kabwe Waziri wa Sheria na Katiba - Tundu Lissu Waziri wa Maliasili -- Mch Msigwa Waziri wa Elimu - James Mbatia Nk
  2. KAKA A TAIFA

    Mabadiliko yanaletwa na waliomo ndani kutoka nje na kusema yaliyomo ndani

    Kambarage aliona mbali,akasema mabadiliko yatatoka ndani ya chama tawala.Kwasababu aliye ndani anayajua vyema ya ndani hivyo akitoka nje akachanganya na ya wengine ndiyo tunaweza kuona mabadiliko Makubwa Na pia nyuma yake ana watu wengi ndani na nje ya chama tawala. Na pia alikuwa ameshajipanga...
  3. KAKA A TAIFA

    Cost of capital

    cost of capitalThe opportunity cost of an investment; that is, the rate of return that a company would otherwise be able to earn at the same risk level as the investment that has been selected. For example, when an investor purchases stock in a company, he/she expects to see a return on that...
  4. KAKA A TAIFA

    Function currency

    Term of the Day functional currencyCurrency of the country (called the 'primary environment' ) in which a firm a conducts its business activities and generates most or all of its income and expenses. It may or may not be the currency in which it presents its financial statements, which is called...
  5. KAKA A TAIFA

    Function currency

    Currency of the country (called the 'primary environment' ) in which a firm a conducts its business activities and generates most or all of its income and expenses. It may or may not be the currency in which it presents its financial statements, which is called reporting currency or presentation...
  6. KAKA A TAIFA

    Ukweli ni ukweli tu

    Kwanini ccm inakataa kujadili mambo ya msingi na haki badala yake wanakimbilia mahakamani?kuna masuala mengi sana hayajajibiwa au kupatiwa ufumbuzi,mfano richmond,deep green,watu waliofukiwa bulyahulu,ajali za meli.migomo ya wafunzi na wafanyakazi.lakini wajue upo mwisho wa kilakitu na kila jambo
  7. KAKA A TAIFA

    Kikosi cha uokozi

    Mpaka leo tanzania haina kikosi maalumu cha ukozi wa dharura aidha cha nchi kavu ,majini au angani.mfano jana giza lilipo ingia shughuli za uokozi zikasitishwa,je mtu gani atahimili kukaa majini akisubiri kuokolewa mpaka asubuhi,yaani baada ya masaa 24.udhaifu...
  8. KAKA A TAIFA

    Learning class: Equity

    Term of the Day equityOwnership interest in a corporation in the form of common stock or preferred stock. It also refers to total assets minus total liabilities, in which case it is also referred to as shareholder's equity or net worth or book value. In real estate, it is the difference between...
  9. KAKA A TAIFA

    Mwenzetu

    Kwa masikitiko makubwa naomba kuungana na madaktari waliofukuzwa kulaani baadhi ya viongozi wa serikali /serikali ambao/ambayo kwao migomo na utafutaji wa haki za msingi ni dhambi au kosa la jinai .ninachoweza kuwashauri madakitari wote ni kuungana kwa pamoja kudai haki zao na za watanzania...
  10. KAKA A TAIFA

    Waweza?

    Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
  11. KAKA A TAIFA

    Waweza?

    Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
  12. KAKA A TAIFA

    Kama uongozi na madaraka ndio hivi basi

    Kwanini haya yatokee,mungu uko wapi?waangazie wahusika mwanga wa milele.haki ni haki wengi mtaliona hilo baadaye
  13. KAKA A TAIFA

    Ndio demokrasia?

    Wamjua huyu?
  14. KAKA A TAIFA

    Why this on earth

    What about the bad things that happen to us? Are we calling them forward to? And if so, how? If so, why? Well, the short answer is, we don’t mean to. But yes — we are doing it, individually as well as collectively. I know that may sound crazy to so me of you. After all, what kind of idiot would...
  15. KAKA A TAIFA

    Can you give the identity

  16. KAKA A TAIFA

    Migomo

    Migomo yote huwa ni kutafuta haki inayofichwa,kandamizwa,cheleweshwa,potezwa.ni njia kubwa kuonyesha walio wengi urahisi wa kutafuta na kufichua haki,kwa harakaharaka wengi wanaweza kufikiria mengi ingawa ukweli watanzania wengi wanaumia kwa haya yatokanayo na migomo.lakini ndio mtaji wa kudai...
  17. KAKA A TAIFA

    Tanzania itakombolewa na wanafunzi

    Wanafunzi wamekuwa wakigoma kuonyesha udhalimu wa serikali na viongozi wake.sasa nimefurahi kuona hata jumuiya ya wafanyakazi waajiriwa wamelianzisha .huu ndo mwanzo wa mwisho wa umasikini wa kimawazo ya woga.asanteni sana mdakitari wengine mnaogopa nini?
  18. KAKA A TAIFA

    Mbona mnasita

    Kwa muda mrefu sasa nimeshuhudia wanachama wa ccm walio wazalendo wanaokerwa na ufisadi, uongozi usio bora, maisha duni ,elimu duni, huduma duni za afya, uchezeaji rasilimali za nchi na mengi mengineyo mengi.wapo walithubutu hata kuanzisha chama. Ninachojiuliza ni kwanini hasa huo uzalendo wa...
  19. KAKA A TAIFA

    Sioni kosa lake huyu

    Hata hivyo mchukueni mkamsulubu kama nyie mwaona mtakuwa mmetimiza yanayopasa.mie sio mwanachama wa chama chochote na sidhani kama naweza kula rushwa kutoka kwa yeyote. Ila kama baba wa taifa angekuwepo angestaajabu kwa maneno yangu haya. Nimewatizama viongozi waliopo sasa hapo kwenye ccm...
  20. KAKA A TAIFA

    Skyscrappers

    WAKATI WENZETU WAMEANZA KUTENGENEZA SKYSCRAPPERS AMBAZO ZITAKUWA NA ROBOTS SISI BADO KUTOKA POSTA KWENDA UBUNGO INACHUKUA MASAA 3.HIVI KUNA SIKU ATOKEA MTUME AIKOMBOEE NCHI HII.
Back
Top Bottom