Mbona mnasita

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Kwa muda mrefu sasa nimeshuhudia wanachama wa ccm walio wazalendo wanaokerwa na ufisadi, uongozi usio bora, maisha duni ,elimu duni, huduma duni za afya, uchezeaji rasilimali za nchi na mengi mengineyo mengi.wapo walithubutu hata kuanzisha chama.

Ninachojiuliza ni kwanini hasa huo uzalendo wa kumalizia unawashinda, je ni woga ,au kulinda maslahi zaidi?au nini?mtu atakombolewa na utashi wa utu wake, ujinga na woga wa kuthubutu tuutomeze jamani
 
Unaonekana kama unawafahamu, tuwekee majina yao hapa ili tuchangie vizuri na kukupa sababu. Ukishindwa kuleta majina na wewe utakuwa ni muoga kama wao.
 
Unaonekana kama unawafahamu, tuwekee majina yao hapa ili tuchangie vizuri na kukupa sababu. Ukishindwa kuleta majina na wewe utakuwa ni muoga kama wao.

1. Nape
2. Six
3. Lembeli
4. Mwaki
5. Etc

Aliyeonyesha ushujaa ni Freddy.

 
Kujitoa mhanga kunataka moyo,wachache wenye moyo huo! Na hiki ndo kinachotuponza mpaka sasa tupo hivi kama watanzania angalau 10% tungeamua kumeza jiwe nchi ingesogea tu.
 
Kuna samweli 6,mwakyembe,lembeli,selelii,filukunjombe,ndugai, ole sendeka,malichela,msuya, m .salim,butiku,mh warioba kwa uchache
 
Back
Top Bottom