Hatari iliyopo kwa wanaosema watasema kila kitu baadae ni kuzidi kujihatarisha. to the best of my knowledge adui zake wanapanga strategy zaidi za kumuangamiza ili asipate fursa ya kusema. ni heri angesema sasa kama ana uwezo wa kusema ili kama wameamua mkummaliza atuachie message ya nini hasa hutokea. hata kama ni kwa siri. Mwakyembe aliwahi kuahidi kitu cha jinsi hiyo, mpaka leo amemwachia Mungu!
yeye angezuga tu kwamba alikuwa amepiga kinywaji akapoteza fahamu tokea pale leaders ili wabaya wake wasishtukie ishu.
sasa watamtafuta kwa udi na uvumba.
Malafyale pole sana, Tunajua katika dunia hii hakuna anayeweza kutoa uhai wa Mtu ila Mungu tu. Mungu atakuponya ili urudi na kuendelea kuwatetea Wenzio kuliko kuyaachia mafisadi yaendelee kutafuna Nchi na ukombozi wa kweli utapatikana kwa njia nyingi kama ulivyofanyiwa wewe lakini kwa faida ya walio wengi. Hata Yesu aliteswa pale msalaba ili Watu wapate ukombozi wa kweli.
yeye angezuga tu kwamba alikuwa amepiga kinywaji akapoteza fahamu tokea pale leaders ili wabaya wake wasishtukie ishu.
sasa watamtafuta kwa udi na uvumba.
kiongozi wao ameshaenda kufanya tathimin ya hali yake pale MOI, hakumkopesha; akamtaka ampe simu yake na wallet aliyochukua, jamaa akatoka nduki. Nadhani hawa wabaya wake sasa itabidi wawashemoto MOI yote iteketee ili asiendelee kuwaumbua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.