Ukweli ni ukweli tu

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Kwanini ccm inakataa kujadili mambo ya msingi na haki badala yake wanakimbilia mahakamani?kuna masuala mengi sana hayajajibiwa au kupatiwa ufumbuzi,mfano richmond,deep green,watu waliofukiwa bulyahulu,ajali za meli.migomo ya wafunzi na wafanyakazi.lakini wajue upo mwisho wa kilakitu na kila jambo
 
Back
Top Bottom