MOTHER:My son must obey me unless he didn't suck my breast for 1 year
WIFE:He sucks mine now & sucked it for more than 5 years and is still sucking
MOTHER:I carried him for 9 months
WIFE:He was only 3.5 kgs ,so whats the big deal ?I carry him every Night and he is 85kgs now
MOTHER:He passed...
Habari zenu wakuu?
Mie nimekuwa nikiwaza uhusiano uliopo kati ya kunywa maziwa na kupunguza vumbi ulilovuta,utasikia ukifanya kazi ktk eneo lenye vumbi kunywa maziwa.
Please wadau i need to know what is the scientific/biological relationship btn drinking milk and cleaning of dust inhaled
Wadau msaada wenu mwenye kujua hii kitu ,kinaanzishwa sana ktk mapori yaliyoifadhiwa na inafaida gani kwa wanakijiji au ndo njia ile ile ya kuwaumiza wanakijiji?
ni utaratibu ambao ulijiwekea kuongea na wananchi wako?ni ka njia ulikokaweka kuelezea mambo mbalimbali yanayolikumba taifa..alianza kwa mbwembwe mchakato wa kutoa hotuba kila mwisho wa mwezi ..leo ni trh 31-07-20120 nipo nasubiria kumwona rahisi akiongea ktk kioo cha luninga yangu,mwenye...
Wakuu nilikuwa sijui kumbe inawezekana kubadilisha ownership ya website?Is it possible ?kwanini hawa Watu wa Bunge wana transfer ownership kwa Mtu na ina maana gani ?
Wadau wenzangu ninaomba kwa mwenye gazeti la daily news la tarehe 24th july 2012 atubandikie hapa ktk ukurasa huu,kwani kuna nafasi mbalimbali za kasi za tasaf,nmb and etc ,please nimesaka jana ckubahatika kulipata ila am sure hapa jf ntazipata tu hzo posts
Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote...ila kuna watu wachache wanaofaidi keki ya taifa na wengi wanaendelea kula nyasi,makundi matatu yametengenezwa kundi la kwanza ni walalahoi(majority),kundi la pili ni walalahai(minority) na kundi la tatu ni walalaheri na ndio hawa wanalalamikiwa...
It has been along period of time i had not yet been within the forum.....i held several times people talk about this name bt i did not exactly know what is all about ?it is there for who?how are they benefiting from seeking employment for those lack employment.....please asssist
Kuna kibwagizo cha wimbo mmoja kinaimba ...maisha ni foleni kila siku inasogeaaaa polepole,mwamini Mungu ipo siku utafanikiwaaa eee...nikiwa nausikia mwimbo huu napata furaha na uchungu kwa pamoja ,FURAHA-inakuja sababu nina imani kuwa kuna siku yaja na mie ntaishi juu ya dola moja ya...
Msione kimya wandugu ,nipo LOLIONDO tangu Jumatatu na nipo ktk foleni mtu wa 1690 na foleni inaenda polepole ,kwa nyuma zaidi nawaona mizengo pinda wa 1703,olesendeka 1780,rostam 1900 na wengne wengi ,kwa kule upande wa pili namwona mzee wa upako na mama rwakatare nao wanasubiria...
It has been a couple of years when my o-level teacher told me this statement.."NO HURRY IN AFRICA",sikutambua wala sikuelewa mana yake nadhani labda nilikuwa sijapanuka ktk upeo wa kudadavua na kuelewa mambo tofauti tofauti.,lakini sasa naelewa na nimegundua ule msemo una mana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.