JK VP ?Mwisho wa mwezi umewadia

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
ni utaratibu ambao ulijiwekea kuongea na wananchi wako?ni ka njia ulikokaweka kuelezea mambo mbalimbali yanayolikumba taifa..alianza kwa mbwembwe mchakato wa kutoa hotuba kila mwisho wa mwezi ..leo ni trh 31-07-20120 nipo nasubiria kumwona rahisi akiongea ktk kioo cha luninga yangu,mwenye information jamani jk kunani pale?hotuba ipo wapi?
 
Bora akae kimya tu badala ya kuzungumza Madudu.
 
Ana nini cha kusema kwa karne hii ya uwazi na ukweli?

Kheri tu awe kimya hivyo hivyo!
 
Poa shark ...tiririka twangojea utamu nadhani weye utagusia swala la ulimboka,mgomo wa walimu,madokta uliotimua,mafao ya nssf,wabunge wala rushwa bila kusahau kufungiwa gazeti la mwanahalisi,haya mdau funguka
 
Aendelea kuwatawala kina riz1,me-raji na mwanahawa kiwete et al.
 
Mwezi uliopita aliongelea mgomo wa madaktari, anaogopa kujitokeza maana lazima aongelee mgomo wa walimu! Two different strikes from different groups in two months what a failure! Shame on you Mr. P!
 
He! mara hii mwisho wa mwezi umefika itabidi topic iwe ileile ya MIGOMO duu hii kali labda itabidi apotezee tu kwa kutafuta ka safari ka ughaibuni!
 
Where is our president when we need him the most? Who is going to persuade all Tanzanians to participate in census 2012? What about the Teachers' strike? I hope we now understand how difficult it is to be president of a country!
 
Hii ilianza enzi za Mzee Mkapa kama hujui nakukumbusha tu.
ni utaratibu ambao ulijiwekea kuongea na wananchi wako?ni ka njia ulikokaweka kuelezea mambo mbalimbali yanayolikumba taifa..alianza kwa mbwembwe mchakato wa kutoa hotuba kila mwisho wa mwezi ..leo ni trh 31-07-20120 nipo nasubiria kumwona rahisi akiongea ktk kioo cha luninga yangu,mwenye information jamani jk kunani pale?hotuba ipo wapi?
 
ni utaratibu ambao ulijiwekea kuongea na wananchi wako?ni ka njia ulikokaweka kuelezea mambo mbalimbali yanayolikumba taifa..alianza kwa mbwembwe mchakato wa kutoa hotuba kila mwisho wa mwezi ..leo ni trh 31-07-20120 nipo nasubiria kumwona rahisi akiongea ktk kioo cha luninga yangu,mwenye information jamani jk kunani pale?hotuba ipo wapi?

Muache mkuu yupo kwenye mfungo
 
Mwezi uliopita aliongelea mgomo wa madaktari, anaogopa kujitokeza maana lazima aongelee mgomo wa walimu! Two different strikes from different groups in two months what a failure! Shame on you Mr. P!

and, of the outmost importance; pupils riots all over the country in responce teachers، stike.
 
Back
Top Bottom