Imetokea loliondo

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
360
Msione kimya wandugu ,nipo LOLIONDO tangu Jumatatu na nipo ktk foleni mtu wa 1690 na foleni inaenda polepole ,kwa nyuma zaidi nawaona mizengo pinda wa 1703,olesendeka 1780,rostam 1900 na wengne wengi ,kwa kule upande wa pili namwona mzee wa upako na mama rwakatare nao wanasubiria kikombe,ntaendelea kuwajuza yanayojiri huku ila msione kimya tatizo ni network.
 
Tupo tunakusanya nauli tukufuate. Mganga hajigangi, nyimbo za mzee wa upako vipi? Mi hata ningesikia sauti ya babu kwenye radio najua ndo nimepona kabisa. Mungu awabariki wote mnaoamini.
 
Leo hii nimepata taarifa kuwa yule Professor wa ujanja ujanja, Sheikh Yahya Hussein ameonekana leo Loliondo kwa Babu kwenda kupata dozi,
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S new:
 
Jamani mwenye picha za mnajimu wetu mashuhuri akipata kikombe cha babu Loliondo atuwekee hapa jamvini tushuhudie.
 
Hapa Waislamu hawana ujanja!! Wamelazimishwa kumtambua Yesu! Wanatibiwa kwa imani ya kikristo!! Halafu tusikie kesho wakiponda ukristo kuwa ni ukafir!!
 
Hapa Waislamu hawana ujanja!! Wamelazimishwa kumtambua Yesu! Wanatibiwa kwa imani ya kikristo!! Halafu tusikie kesho wakiponda ukristo kuwa ni ukafir!!

Tatizo lako wewe ni mdini, na babu alishalitambua hilo. Na kdio maana siku zote anasema kaoteshwa na MUNGU na sio YESU. Afer all kwa sasa yeye si mchumgaji tena japo mnalazimisha aitwe mchungaji kwa kumrudishia cheo. Kila sehemu mnataka kuleta ujanja ujanja
 
ushawahi kusikia kiongozi wa dini anavuliwa cheo chake hata kama amestaafu?

Ndio, babu. Alikuwa Mchungaji na sasa ni Mchungaji mstafu. Japo mnataka kulazimisha aitwe mchungaji. Mungu anaakili kaka, ndo maana akampa kikombe wakati akiwa amestaafu, alijua angempa wakati ule mngempangia masharti kibao. sasa hivi mnajipendekeza kwa babu ili awasaidie kuutangaza ukristo wenu. Mwacheni babu hurua audumie watu
 
Hapa Waislamu hawana ujanja!! Wamelazimishwa kumtambua Yesu! Wanatibiwa kwa imani ya kikristo!! Halafu tusikie kesho wakiponda ukristo kuwa ni ukafir!!

Sipendi na nasema sipendi watu wanapojaribu kujionyesha wao ni bora kuliko wengine.
Kuna watu hapa wamejaribu kujinasibu na kuonyesha unasaba wao na babu kikabila na sasa mwingine kaja ni kidini.
Ikumbukwe Yesu aliwaponya wenye dhambi na wasio na dhambi bali walo kuwa na imani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom