nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 362
Wadau wenzangu ninaomba kwa mwenye gazeti la daily news la tarehe 24th july 2012 atubandikie hapa ktk ukurasa huu,kwani kuna nafasi mbalimbali za kasi za tasaf,nmb and etc ,please nimesaka jana ckubahatika kulipata ila am sure hapa jf ntazipata tu hzo posts