Search results

  1. HISIA KALI

    Lowassa kama Mwai Kibaki

    Mzee Mwai Kibaki ni Rais mstaafu wa Kenya ambaye alitoka KANU na kujiunga na upinzani na kufanikiwa kushinda kuwa Rais wa tatu wa nchi ya Kenya. Huyu alikuwa na umri wa miaka 70 na kitu alipochaguliwa kuwa Rais. Ni mtu ambaye hakuwa na maneno mengi kwenye hotuba zake lakini ndiye Rais...
  2. HISIA KALI

    Je kutumia lugha za kikabila kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi sahihi?

    Kuna wagombea wamekuwa wakitumia lugha za kikabila kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi. Je ni sahihi? Sheria za nchi zinasemaje kuhusu ili jambo?
  3. HISIA KALI

    Tume ya uchaguzi iwe makini na matokeo ya uchaguzi

    Kwa jinsi kampeni zinavyokwenda ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na ushindani mkubwa sana kuliko chaguzi za nyuma hasa katika nafasi ya Urais. Hivyo ni muhimu tume ya uchaguzi ikajipanga vyema kuhakikisha zoezi hili linaisha kwa amani na utulivu ili taifa liweze kusonga mbele baada...
  4. HISIA KALI

    Mgombea wa urais ACT-Wazalendo kapata wapi fedha za kuzunguka mikoani?

    ACT-Wazalendo ni chama kipya lakini tangu kimeanza kimekuwa kikifanya harakati nyingi za kisiasa ambazo zinahitaji fedha nyingi. Wakati mwingine wamekuwa wakipambana na vyama vingine vya upinzani kitu ambacho kinatia shaka ni nini dhamira yao na ni wapi wanapata fedha. Wapiga kura tujiulize wapi...
  5. HISIA KALI

    Tokeni kwenye kitanda chenye kunguni

    Katika mikutano mbalimbali ya kampeni za CCM,- Magufuli amekuwa akiwaomba wapiga kura kutoiondoa CCM madarakani kwa kutumia mfano wa kitanda chenye kunguni kwa kusema kitanda kikiwa na kunguni hakitupwi wa kuchomwa moto bali kinamwagiwa maji ya moto. Kwanza inabidi tukiri kuwa Magufuli anakiri...
  6. HISIA KALI

    Lowasa, Mbowe na Mbatia hakikisheni daftari la wapiga kura liko sahihi

    Kwa taratibu za uchaguzi za Tanzania mshindi wa uchaguzi atakuwa mgombea alitakayepata kura nyingi zaidi.- Wala sio yu le atakaye fanya mikutano mingi zaidi au kukusanya umati mkubwa wa watu kwenye mikutano. Kwa kuwa wingi wa kura ndio unaamua mshindi wa uchaguzi ni lazima mgombea wa...
  7. HISIA KALI

    Kuna haja ya kutofautisha Phd za ukweli na ambazo sio za ukweli katika nchi yetu

    Katika miaka ya hivi karibuni watu wengi wameongeza Dr( PhD) kabla ya majina yao. Ni kweli kuna watu wamestruggle kupata hizo PhDs kwa kukaa darasani na kufanya tafiti kwa muda mrefu, kuna wengine wamejipatia kupitia vyuo uchwara, na kuna wengine wamepewa za heshima. Hizi za heshima hatujua kama...
  8. HISIA KALI

    Chadema pelekeni makamanda jimbo la iramba magharibi kwa mwingulu mchemba

    Kutokana na mbunge wa Iramba Magharibi kutetea bajeti ya serikali kwa nguvu zote na matusi juu dhidi ya CHADEMA wakati wananchi wa jimbo lake wana hali mbaya kimaisha na maendeleo kwa ujumla ninashauri CHADEMA ipeleke makamanda kadhaa kule jimbo la Iramba Magharibi ili kumshitaki huyu mbunge kwa...
  9. HISIA KALI

    Nani amashindwa katika uchaguzi wa arumeru- ccm kama chama ua sioyi kama mgombea?

    Tangu kutangazwa kwa ushindi wa CHADEMA kule ARUMERU kumekuwa na hoja mbalimbali hasa kutoka kwa upande ulioshindwa kueleza sababu za kushindwa kwao. Hoja hizi ninaweza kuziweka kwenye makundi makubwa mawili. Moja ni kuwa CCM kama chama ndicho kimeshindwa na CHADEMA. Pili, Sioyi kama mgombea...
  10. HISIA KALI

    Mapendekezo ya watu wa kuwakilisha CHADEMA kwenye tume ya Katiba Mpya ni haya

    Kutokana na CHADEMA kutangaza kupitia kwa Mnyika kuwa watu watoa mapendekezo ya akina nani watawakilisha CHADEMA kwenye tume katiba mpya, mimi napendekeza hawa. 1.Tindu Lissu-Huyu ni mtaalum wa sheria na mtetezi wa haki za binadamu. Ana ufahamu mzuri wa mambo ya sheria na katiba. 2.Prof...
  11. HISIA KALI

    Madaktari kama serikali inawabana kwenye kumbi nawaushauri mtumie internet- mfano facebook

    Siku hizi watu hawahitaji kukusanyika physically kufanya mikutano. Tumieni mtandao wa internet. Anzisheni facebook page na kuitumia kujadili hoja zenu.
  12. HISIA KALI

    Kazi ya kuandika katiba mpya ni kazi muhimu kuliko zote katika Taifa lolote( kazi takatifu)

    Nimesoma kwa makini mapendekezo ya CHADEMA. Kusema ukweli yamenikuna sana. Yamenikuna kwani yameweka masilahi ya Taifa la Tanzania mbele. Ni kweli suala la kutanga katiba mpya linahitaji uangalifu mkubwa na hekima ya kutosha. Kikubwa zaidi hili zoezi la kutunga katiba mpya linatakiwa liwekwe...
  13. HISIA KALI

    Chadema hasa mbowe tafadhali jibu hotuba ya rais kikwete ama sivyo tutaamini kila achosema

    Nimesoma na kusikiliza hotuba ya rais kikwete. Pia nimefuatia maoni ya watu mbalimbali kuhusu hiyo hotuba ya rais kikwete. Kitu kikubwa nilichogua ni kwamba rais kikwete aliandaa hotuba ile kupinga hoja za chadema. Rais ametaja chadema na mwenyekiti wake ndugu freeman mbowe waziwazi ili...
  14. HISIA KALI

    Watanzania hawana haja na CCM au CHADEMA wanataka maisha mazuri

    Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea nafuu ya maisha ya kila siku ndicho kitashinda uchaguzi.
  15. HISIA KALI

    Elections 2010 Je wapiga kura wa Igunga wanaambiwa kwa nini uchaguzi wa mbunge unafanyaka sasa?

    Mwaka jana alikwenda rais Kikwete akawaambia wana Igunga kuwa Rostam Aziz ni mtu muhimu na mchapa kazi ndani ya CCM hivyo achaguliwe. Viongozi wa upinzani walienda wakasema Rostam Aziz ni fisadi yeye pamoja na chama chake hivyo hasichaguliwe Mwisho wa siku wana Igunga walimchagua Rostam Aziz na...
  16. HISIA KALI

    Kampuni saba zaomba kuingiza mafuta nchini-(USALAMA WA TAIFA UKO MASHAKANI)

    Nimesoma habari kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa ``Kampuni saba zaomba kuingiza mafuta nchini``. mimi hili linanisumbua kwa kiasi fulani. Kati ya hizo kampuni saba ni moja tu ambayo ni ya ndani ya nchi. Kampuni mbili zinatoka Bahamas, tatu zinatoka Singapore na moja Geneva Uswisi. Nina...
  17. HISIA KALI

    Wabunge angalieni hili la VAT kwenye nyumba za kuishi

    Kifungu hiki cha bajeti kingefaa kuweka nafuu ya kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili wananchi waweze kujenga nyumba bora za kuishi kwa bei nafuu. Hii ya kusamehe tu kodi ka NHC haitoshi kwani ni wananchi wachache sana wenye uwezo wa kununua nyumba NHC, pia NHC sina uhakika kama ina uwezo wa kujenga...
  18. HISIA KALI

    Wabunge wa ccm washangilia ushindi baada ya tangazo la kuridishwa kwa mswaada

    Wabunge wa ccm wanashangilia ushindi. Ni vyema tukakukumbuka kuwa hata siku moja serikali iliyo madarakani haiwezi kuwa na nia ya dhati kubadilisha katiba bila kushinikizwa kufanya hivyo. Na hata pale kunapokuwa na shinikizo serikali inaangalia upepo unaendeaje kwanza. Kama ikiona wananchi...
  19. HISIA KALI

    Wakati watanzania wengi wakiwa wanadai katiba watusisahau kudai tume huru ya uchaguzi kabla 2015

    Kutokana na mwenendo wa mswaada wa kubadilisha katiba naona kuna kamchezo CCM na serikali yake wanacheza kuwaadaa watanzania kuhusu katiba mpya. Mimi naona CCM na serikali yake haina nia ya kuwa na katiba mpya Tanzania. Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Mswaada uliondolewa leo bungeni...
  20. HISIA KALI

    Fundi mzuri wa milango ya nyumba anapatikana wapi hapa Dar?i

    Jamani fundi mzuri wa milango ya nyumba anatafutwa kwa kazi ya haraka hapa DSM. Naomba ushauri wenu, anaweza kupatikana wapi? Pia kuna mtu mwenye picha za kazi zake na kama zipo tunaziomba.
Back
Top Bottom