Wabunge wa ccm washangilia ushindi baada ya tangazo la kuridishwa kwa mswaada

HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
Wabunge wa ccm wanashangilia ushindi.

Ni vyema tukakukumbuka kuwa hata siku moja serikali iliyo madarakani haiwezi kuwa na nia ya dhati kubadilisha katiba bila kushinikizwa kufanya hivyo. Na hata pale kunapokuwa na shinikizo serikali inaangalia upepo unaendeaje kwanza. Kama ikiona wananchi wengi watakata katiba basi inajifanya inalete hii katiba lakini kimsingi bado wanakuwa hawana nia hiyo. Hiyo inakuwa ni janja ya kuwaadaa tu wananchi ili kuwanyamazisha. Kwa hiyo basi ili kufanikisha nia yao mbaya watafanya kila njia kuhakikisha kuwa katiba mpya inachelewa kwa kadiri inavyowezekana.

Tukumbuke pia msemo wa kiengereza unasema kuwa rights delayed is rights denied. Kimsingi hii ya kuchelewa kwa katiba mpya kwa njia za ujanja ujanja ni sawa na kunyimwa katiba mpya.

Hivyo basi mimi naona wabunge wa ccm kushingilia baada ya tangazo la kurudisha mswaada ni ishara kuwa nia ya chama chao cha ccm na serikali yao imefanikiwa.

Kazi inabaki sasa kwa wadua wa kutaka katiba mpya kugundua huu ujanja wa CCM na serikali yake ili kuwabadana kwa pressure kubwa walete katiba haraka iwezekanavyo.
 
Kweli mungu yupo pamoja na watz na sio ccm kwani inaonesha wanaopenda ccm na kikwete inawezekana sio watz......wengi ni mamluki km akina rostamu na bashe
 
We knew what was the purpose!!! CCM do not want the new constitution and they have brought forward a shabby proposal for people to reject for it to take more time. That is time buying but it will turn later on to be their destruction. lets wait and see. at least a third of Tanzanians now has been in school or at least have heard of his/her right through the media. They better do it now than later b/se it will turn to be worse to CCM if this thing is delayed.
However, they can also use it as a 2015 tool to win election as they may implement it near to elections and we go into elections while the constitution saga is still fresh in mind. Wakasema serikali ya CCM ni sikivu imewasikiliza ikawaletea katiba!!!! then wakajizolea majimbo!!!! All in all it has CCM upper hand if used carefully!!!
 
Kweli mungu yupo pamoja na watz na sio ccm kwani inaonesha wanaopenda ccm na kikwete inawezekana sio watz......wengi ni mamluki km akina rostamu na bashe

Hata hao maluki hawaipendi CCM wanachopenda na kufarihia ni kuwaibia watanzania kwa jina la CCM kwa kuwa ndio imeshika dola wao ndio kicheko na salama ya madhambi yao, siku ikitoka madarakani utaona wangapi wanaipenda kweli?
 
wabunge wa ccm wako kwa maslahi yao na vitegemezi vyao basi..sio kwa Tanzania
 
We knew what was the purpose!!! CCM do not want the new constitution and they have brought forward a shabby proposal for people to reject for it to take more time. That is time buying but it will turn later on to be their destruction. lets wait and see.

If we want the time buying to turn against them, let us not weait and see... let us act and pressure them to deliver what we want. If we employ the wait and see tactic, it might take generation before Tanzania gets a new constitution and it will be that which supports the supremacy of the ruling party
 
Wabunge wa ccm wanashangilia ushindi.

Ni vyema tukakukumbuka kuwa hata siku moja serikali iliyo madarakani haiwezi kuwa na nia ya dhati kubadilisha katiba bila kushinikizwa kufanya hivyo. Na hata pale kunapokuwa na shinikizo serikali inaangalia upepo unaendeaje kwanza. Kama ikiona wananchi wengi watakata katiba basi inajifanya inalete hii katiba lakini kimsingi bado wanakuwa hawana nia hiyo. Hiyo inakuwa ni janja ya kuwaadaa tu wananchi ili kuwanyamazisha. Kwa hiyo basi ili kufanikisha nia yao mbaya watafanya kila njia kuhakikisha kuwa katiba mpya inachelewa kwa kadiri inavyowezekana.

Tukumbuke pia msemo wa kiengereza unasema kuwa rights delayed is rights denied. Kimsingi hii ya kuchelewa kwa katiba mpya kwa njia za ujanja ujanja ni sawa na kunyimwa katiba mpya.

Hivyo basi mimi naona wabunge wa ccm kushingilia baada ya tangazo la kurudisha mswaada ni ishara kuwa nia ya chama chao cha ccm na serikali yao imefanikiwa.

Kazi inabaki sasa kwa wadua wa kutaka katiba mpya kugundua huu ujanja wa CCM na serikali yake ili kuwabadana kwa pressure kubwa walete katiba haraka iwezekanavyo.

Ahaaa! Nimekuelewa
Kwa hiyo walitunga muswada wenye vipengele vingi vya uchokozi kwa makusudio ya kuchelewesha katiba mpya!
Muswada unarudishwa serikalini kwa marekebisho ambapo pia utakapowasilishwa utahitaji marekebisho mengine!
Watz watakapokasirika kwa makosa yanayojirudia serikali itaunda tume kuchunguza wanaosababisha makosa hayo ili wawajibishwe na wataalamu wengine kutoka nje ya nchi waje kufanya kazi hiyo! Hapo itakuwa Nov 2014
 
Back
Top Bottom