Search results

  1. Mwaikibaki

    Kuna nini kinaendelea NHIF?

    Siku ya jana mfuko wa bima ya Taifa ya Afya alias NHIF walitoa taarifa ya kuanza kutoa huduma kwa kifurushi/kitita kipya kuanzia tar 1.3.2024. Taarifa hii ilitolewa na Mkurugenzi wake. Jana hiyo hiyo Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA), kikatangaza tena kugomea kuwahudumia Wanachama wa...
  2. Mwaikibaki

    Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

    Wadau, Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa! ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni...
  3. Mwaikibaki

    TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  4. Mwaikibaki

    #COVID19 Tuchukue tahadhari: Wimbi jipya la covid19 liko kwa jirani

    Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021...
  5. Mwaikibaki

    Mtazamo wa Mh. Malema juu ya jukumu la regional intergration!

    Mdau, Sikiliza mwenyewe....nini mtazamo wako?
  6. Mwaikibaki

    Haki ya kuchukua mafao kutoka mifuko ya jamii

    Habari wadau, Kwa nyakati tofauti siku mbili hizi nimekutana na hizi taarifa juu ya haki ya mtumishi kuchukua mafao yake aliyochangia katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Inavyoonekana kuna mabadiliko madogo ya kisheria yamefanyika kutoa uhuru huo abao "ulifinywa" hapo awali. Ningependa kufahamu...
  7. Mwaikibaki

    "Sugar free Coke" ni sera imelazimisha au ni demand ya soko?

    Siku za karibuni kumekua na uhaba wa soda zenye sukari kwa baadhi ya maeneo, nilichoshangaa ni kua ukiagiza soda ya Coke unaletewa chupa lenye lebo ya "haina sukari" najua na naelewa umuhimu wa kutokunywa masukari mengi ila pia ikumbukwe si kila mtu ana tatizo la sukari mwilini lakini ni uhuru...
  8. Mwaikibaki

    Magari used kutoka USA na UK

    Habari wadau Kuna jamaa yangu amevutiwa na page moja ya magari yaliyoko usa na uk huko mtaa wa instagram, hao watu wanauza used cars na tz wana agent. Ningependa kujua ubora wa used za nchi hizo ukoje pia uhakika wa usafirishaji kuchukua muda gani toka huko, taratibu za tra etc.Nimeuliza hayo...
  9. Mwaikibaki

    Askari wa usalama barabarani jirekebisheni kujali muda

    Wadau, Nafahamu ni jukumu la kila mmoja wetu kutii sheria bila shuruti.Pia naelewa ni jukumu la wenzetu wanaosimamia sheria barabarani kuhakikisha taratibu zinafuatwa. Kuna tabia ambayo imejijenga kwa baadhi ya wasimamizi wa sheria kusimamisha gari bila sababu, hawafanyi ukaguzi au kutazama...
  10. Mwaikibaki

    Mh. Nape Nnauye mbona hueleweki unachosimamia?

    Nimetoka kuangalia taarifa ya habari hapa namuona mzee wa mtama anajieleza juu ya issue ya korosho, kuna kitu naona sielewi mara aseme kaenda kuwatuliza wananchi wake wasiandamane,mara bunge limepitisha sheria juu ya hiyo issue ya korosho (naamini mnaijua) hivyo sheria ichukue mkondo wake,kidogo...
  11. Mwaikibaki

    Usajili wa laini - TCRA-huu utaratibu ni upi tena?

    Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe mfupi na moja ya kampuni za simu (vodacom) ikiniambia "line yangu ina usajili wa awali hivyo nimezuiwa huduma mpaka niende vodashop na kitambulisho. Nachojiuliza line hii ina zaidi ya 4years na nilisajili full tena voda shop. Jamani hizi double standards zimezidi...
  12. Mwaikibaki

    Mamalaka ya maji safi na majitaka Dodoma (DUWASA) rekebishebini mfumo wa malipo.

    Ndugu zangu naandika haya baada ya kuchukua hatua ya kuwafuata DUWASA na kuwapa maoni yangu kwa nia njema ila naona wanajifanya "hawaelewi". Kama zilivyo idara nyingine za serikali,DUWASA wamehamisha mfumo wa ulipaji bili za maji kuwa wa ki-TEHAMA jambo ambalo ni zuri kabisa.Tatizo lipo...
  13. Mwaikibaki

    King'amuzi cha Azam kinahitajika

    Wadau, Nahitaji mtu mwenye king'amuzi cha Azam bila dish kama unacho,kisiwe na tatizo (fault ) ya aina yoyote kiwe kimesajiliwa kiko hewani na Remote yake. Karibu tufanye biashara. Jibia hapa hapa nitakutafuta. Nb:Najua nahitaji cha nini hivyo sihitaji darsa na story nyingi..kama unacho...
  14. Mwaikibaki

    Bodi ya mikopo acheni kucheza na akili za watu!

    Naangalia taarifa ya habari hapa ITV,msemaji wa bodi ya mikopo anachezesha sentensi juu ya kigezo ambacho kimeleta sintofahamu kwa waombaji wa mikopo kinachozungumzia mzazi kumiliki leseni ya biashara,huyu jamaa anadai hicho si kigezo. Nachojiuliza;kwani sisi wananchi tumetoa wapi hicho kigezo...
  15. Mwaikibaki

    Bodi ya Mikopo: Mmeanza kujichanganya kwenye kumbukumbu za urejeshaji mikopo??

    Wadau, Ni jambo la kutia moyo pale ambapo wakopaji wanarejesha mikopo kwa wakati ili kuwezesha wengine wapate msaada kama wao. Hapa nyumbani nina kijana wangu ambaye miaka ya nyuma sana alipata mkopo wa daraja C ambao kwa miaka hiyo ilikua daraja la mwisho.Baada ya kuhitimu chuo alipata kibarua...
  16. Mwaikibaki

    Hali ya kifedha mifukoni imekua tete

    Niko na wadau mitaa ya shikamoo pub Sinza,viti viko wazi na watu wa kuhesabu.Ukizingatia tarehe "zimeandama" ila mahudhurio ni hafifu as compared to enzi zilee..kweli hali ni tete at micro level. Namba inasomeka!
  17. Mwaikibaki

    Nahitaji iphone 7/ 7plus niko dar es salaam

    Habari wadau, Naomba msaada kwa anayejua official dealer wa iphone kwa Tanzania- aliyeko dsm,iwe iphone7 au 7plus , pia kama una idea ya bei zake itakua umenisaidia. NB: Sihitaji used; nahitaji mpya sealed with warranty. shukrani
  18. Mwaikibaki

    Chumba cha kupanga kinahitajika haraka -LINDI

    Wadau, Nina shida ya chumba cha kupanga self maeneo ya lindi mjini, au mitwero.Pia ikipatikana room mbili za pamoja zikijitegemea kwa umeme na choo nitashukuru. Mwenye nacho au taarifa zaidi nitumie PM.
  19. Mwaikibaki

    Kama viongozi wa bodi ya mamlaka ya mapato wanafanya haya tutapataje kupona kiuchumi??

    Wanabodi Nimesikitika na kufadhaika baada ya mkuu wa kaya kutoa waziwazi pasipo kificho sababu iliyopelekea kuivunjilia mbali bodi ya mamlaka ya mapato. Kwa hali hii napata mashaka kua tutawezaje kufikia malengo yetu ya viwanda kama tunaowategemea kutuongoza kukusanya mapato wanafanya...
  20. Mwaikibaki

    TCU malipo haya ya 20,000 matumizi yake ni yepi?

    Wadau, Asuhuhi hii nimepigiwa simu na bwana mdogo ambaye anakaribia kuhitimu chuo akiniambia wanatakiwa kulipa ada ya TCU sh elfu ishirini kwenye chuo husika. Kijana huyu alijiunga maasomo ya masters mwaka 2014 wakati wa udahili joining instr. Ya chuo chao haikuweka bayana ila hivi karibuni...
Back
Top Bottom