Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,982
- 3,641
Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe mfupi na moja ya kampuni za simu (vodacom) ikiniambia "line yangu ina usajili wa awali hivyo nimezuiwa huduma mpaka niende vodashop na kitambulisho.
Nachojiuliza line hii ina zaidi ya 4years na nilisajili full tena voda shop.
Jamani hizi double standards zimezidi mbona hamueleweki taratibu zenu??? Hii nchi unaweza tumia nusu ya muda kila siku kukaa foleni za usajili./kuhudumiwa ..tutafanya kazi saa ngapi??