Mwele Ntuli Malecela (born March 26, 1963) is a senior United Nations civil servant and the current director of the Department of Control of Neglected Tropical Diseases at the World Health Organization Headquarters in Geneva, Switzerland.
Wakuu habari za muda huu.
Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu...
Ndugu Wana jukwaa, kama ambavyo heading inavyosomeka kwamba kuna taarifa kwamba Dr. MWELE MALECELA amefariki jioni ya leo akiwa Uswisi alipokuwa anaishi na pia alipokuwa anatibiwa.
Marehemu Dr Mwele alikuwa ni Mkurugenzi wa Kituo Cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika ambacho kinatekeleza...
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
Mkurugenzi wa Magonjwa ya kitropiki kutoka WHO , Dr Mwele Malecela amesema wataalamu wa sekta mbalimbali wafanye kazi kwa kuzingatia weledi bila woga.
Dr Mwele kwa sasa anafanya kazi Makao Makuu ya WHO Geneva Uswisi , amesema wataalamu waachwe wafanye kazi kwa weledi ili kupata matokeo chanya...
Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.
Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.
Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.
Ona...
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.
Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na...
Aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI Bi.Mwele malecela ameposti katika akaunti yake ya twitter maneno haya. Nadhani huu ni mrejesho baada ya tamko la Mwenye nyumba kuwa Daktari Mwele malecela alikua anatumika na MABEBERU.
=====
RAIS John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua...
Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada...
While this is a truly dark cloud in our nation's history you have shown that people of integrity still exist and that you are one of them! History will judge you as a man of honour Prof Assad. #IStandWithCAG
08 October 2018 | Geneva -- Dr Mwelecele Ntuli Malecela has been appointed as the new Director of the WHO Department of Control of Neglected Tropical Diseases. Until her appointment, Dr Malecela was Director in the Office of the Regional Director, WHO Regional Office for Africa in Brazzaville...
Dr Mwele has been appointed the Director of Control of Neglected Tropical Disease at WHO (Duty station: Headquarters, Geneva).
Dr Mwele was previously Director in the Office of the Regional Director for the Africa Region (Duty station: Brazaville, Congo). Before she joined WHO, she served as...
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi...
Zika na NIMR
Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake.
Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.