Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,982
- 3,641
Naangalia taarifa ya habari hapa ITV,msemaji wa bodi ya mikopo anachezesha sentensi juu ya kigezo ambacho kimeleta sintofahamu kwa waombaji wa mikopo kinachozungumzia mzazi kumiliki leseni ya biashara,huyu jamaa anadai hicho si kigezo.
Nachojiuliza;kwani sisi wananchi tumetoa wapi hicho kigezo kama sio wao walioandika jana,hivi ni lini tutakua makini na tunachofanya.Kama mtu unadhani unachopanga kiko sahihi wacheni kuyumba yumba.
Nachojiuliza;kwani sisi wananchi tumetoa wapi hicho kigezo kama sio wao walioandika jana,hivi ni lini tutakua makini na tunachofanya.Kama mtu unadhani unachopanga kiko sahihi wacheni kuyumba yumba.