Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,982
- 3,640
Wadau,
Asuhuhi hii nimepigiwa simu na bwana mdogo ambaye anakaribia kuhitimu chuo akiniambia wanatakiwa kulipa ada ya TCU sh elfu ishirini kwenye chuo husika.
Kijana huyu alijiunga maasomo ya masters mwaka 2014 wakati wa udahili joining instr. Ya chuo chao haikuweka bayana ila hivi karibuni ndio wameambiwa wanapaswa kulipa fedha hizo.
Je, hizi fedha ni za nini hasa? TCU si inaendeshwa kwa kodi zetu?
Lengo ni kujua rationale ili nimlipie kama inavyoelekezwa.
Mwenye maelezo au kujua zaidi karibu.
Ahsante.