Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,982
- 3,642
Habari wadau,
Kwa nyakati tofauti siku mbili hizi nimekutana na hizi taarifa juu ya haki ya mtumishi kuchukua mafao yake aliyochangia katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Inavyoonekana kuna mabadiliko madogo ya kisheria yamefanyika kutoa uhuru huo abao "ulifinywa" hapo awali. Ningependa kufahamu kua mabadiliko haya yatafuta lile zuio la awali la fao la kujitoa au huu ni upepo wa muda tu?
Naomba mwenye maelezo ya kina haswa na tafsiri ya mabadiliko kisheria na namna ya utekelezaji wake atudadavulie hapa as naamini hapaharibiki neno humu.
Yote kwa yote shukrani kwa wote walioona hili suala kwa uzito wake.