"Sugar free Coke" ni sera imelazimisha au ni demand ya soko?

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,982
3,642
Siku za karibuni kumekua na uhaba wa soda zenye sukari kwa baadhi ya maeneo, nilichoshangaa ni kua ukiagiza soda ya Coke unaletewa chupa lenye lebo ya "haina sukari" najua na naelewa umuhimu wa kutokunywa masukari mengi ila pia ikumbukwe si kila mtu ana tatizo la sukari mwilini lakini ni uhuru wa mteja kupata atakacho.

Je kuna sera yoyote au sheria ya kulazimisha kuuziwa hizi coke zero manake naona producer ame create scarcity ya soda za sukari na anauza sugar free kibabe !
 
Back
Top Bottom