Haya makampuni ya simu have very interesting internet packages and when you get enrolled they screw you hard big time!!
How?
Mfano; ukinunua tigo TShs 450 package a day make sure salio lako ni zero isibaki hata senti OTHERWISE;
Ukimaliza hiyo package ya siku [50MB] kabla siku haijaisha...
Wadau.
Nimenunua simu ya IDEOS toka Tigo but realized imekuwa customized for Tigo ONLY
HELP TO UNLOCK IT?
Help to unlock my freedom to use it for the network. Of my choice.
Naona sasa Zantel wameshaanza kuchokoza customers!
Its Monday morning, and I needed 2GB bundle, for 10,000 as usual, for Internet connectivity to pull myself up for the viporo vya kazi immediately.
Because, I didn't used my High-life SIM card on voice for the last 7 days I cannot get...
Alisema kinachohitajika sasa hivi ni kupata michango mingi ya mawazo ya wananchi kuliko kupoteza muda kwa kile alichokiita kuzungumza kama bata kila kukicha - AG Werema
Phrase from Mwananchi second paragraph
Huku ni kutukosea heshima kabisa wana wa nchi
Nawasilisha
Huyu ndugu ni mtumishi wa umma.
Baadhi ya maamuzi afanyayo yamejikita kwenye hisia na fanatism kwa chama tawala badala ya misingi ya kisheria.
Ni wajibu, na haki yetu kumdadavua huyu ndugu yetu tufahamu alifikafikaje huko na pia kufahamu reasoning na judgement capacity yake imekaa vipi...
Kurasa za mbele za magazeti ya Nipashe, the guardian,Mwananchi na tanzania daima yaonesha umati wa watu katika mkutano wa kampeni ya slaa moshi.
Bila shaka mafisadi watayanunua yote ili wananchi wasijue ukweli
Kwa waliokuwa wanatizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku leo TBC1 bila shaka mmeyaona.
Ndugu yangu Richard Ndassa alikikoroga, na mie sijapata kitu kabisa.
Kanuni na sheria zasemaje kuhusu hilo.
Wanasheria mtujuze
As the debate continues on what were the actual economic benefits of Tanzania's hosting of the World Economic Forum (WEF) early this year, it is now emerging that the State House spent a cool Tsh 367 mln (approximately USD 250,000) on a lavish evening entertainment gala for the conference...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.