Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

tartoo

Senior Member
Jul 2, 2010
129
2
Kurasa za mbele za magazeti ya Nipashe, the guardian,Mwananchi na tanzania daima yaonesha umati wa watu katika mkutano wa kampeni ya slaa moshi.

Bila shaka mafisadi watayanunua yote ili wananchi wasijue ukweli
 
Hawawezi, maana tulishaona tangu jana kwenye newz!
Napenda niwasifu watu wa Moshi, maana wameonyesha wazi kuichoka ccm.
Hawa ni mashujaa!
 
Hawana sera sasa hivi mwaka huu wameshikwa pabaya ndio maana wanahaha kila mahali kwenye TV,MAGAZETINI na kwingineko lakini wakae wakijua kuwa wataendelea kuvuliwa nguo hadharani kwa kuwa kila kinachoongelewa juu yao na ushaidi pia upo ndio maana Chegeni anahangahika na kupiga propaganda zisizo na msingi wowote ule
 
Hawa ni wanamapinduzi wa kweli kama wambulu, kilimanjaro hawadanganyiki kirahisi,mwaka huu CCM watajiju vizuri.
 
Kurasa za mbele za magazeti ya Nipashe, the guardian,Mwananchi na tanzania daima yaonesha umati wa watu katika mkutano wa kampeni ya slaa moshi.

Bila shaka mafisadi watayanunua yote ili wananchi wasijue ukweli

Kama kawaida Mwananchi limetoka 'kivyake' (na style ya hajikombi mtu).

Nadhani picha yake ya mbele ni mwiba kwa Chama cha Mafisadi (CCM) na vibaraka wao
 
Hawa ni wanamapinduzi wa kweli kama wambulu, kilimanjaro hawadanganyiki kirahisi,mwaka huu CCM watajiju vizuri.

Hakuna cha kuhofia. Wao husema 'Ushindi unakuja'. Sisi twasema 'Muda unakuja'. Unaweza kuzuia hata bomu la nyukilia lakini huwezi zuia muda.

Kilimanjaro na Mikoa yote inayoamini mabadiliko kuwa ni lazima wanakilisha WIMBI la bahari linalosafiri.

Tsunami ilipiga Indonesia. Lakini wimbi la Tsunami lilifika mpaka fukwe za Pwani ya Tanzania.

Watu wa Tanga,Lindi na Mtwara (wanaaongoza kwa kufulia kila sekta.wazee wa gahawa, urojo na pweza) wakae tayari. Wimbi la mabadiliko linakuja. Na hakuna wa kulizuia.

Kwa wale wanaoota kurudisha majimbo kama Moshi Mjini kwenye mikono ya Mafisadi. Wasahau. Labda niwashauri --- Wahamie Tanga, Lindi na Mtwara.
 
Moshi CCM haithubutu kupata kura ya mtu kule mgombea atabaki na kura yake peke yake tu na mkewe au mumewe. Watanzania wote tungekuwa kama hawa watu Moshi na Karatu tungeshakuwa mbali sana. Moshi na Karatu hongereni sana kwa kuonyesha ushujaa
 
Kura yangu Kwa Slaa, Mbunge wangu John Mnyika na Diwani Chadema hiyo inaitwa FULL SUIT. To Hell With CCM fisadizzzzzz
 
Ndugu ahsante sana na hata mimi mmoja waliofurahi kwa hili ila naogopa kufurahi sana kwa yalionikuta kwa mrema sitosahau ogopa sana hawa wanaojaza mkutano siku ya kura wanakuwa bar wote wakilewa na pesa za ccm
so wingi wa watu usikupe saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaa matumaini....
 
Hakuna cha kuhofia. Wao husema 'Ushindi unakuja'. Sisi twasema 'Muda unakuja'. Unaweza kuzuia hata bomu la nyukilia lakini huwezi zuia muda.

Kilimanjaro na Mikoa yote inayoamini mabadiliko kuwa ni lazima wanakilisha WIMBI la bahari linalosafiri.

Tsunami ilipiga Indonesia. Lakini wimbi la Tsunami lilifika mpaka fukwe za Pwani ya Tanzania.

Watu wa Tanga,Lindi na Mtwara (wanaaongoza kwa kufulia kila sekta.wazee wa gahawa, urojo na pweza) wakae tayari. Wimbi la mabadiliko linakuja. Na hakuna wa kulizuia.

Kwa wale wanaoota kurudisha majimbo kama Moshi Mjini kwenye mikono ya Mafisadi. Wasahau. Labda niwashauri --- Wahamie Tanga, Lindi na Mtwara.

Tunawaambia wembe ni ule ule KUSHINDWA!
 
Huna gazeti la mwananch hapo Ofisini?

Naombeni kuuliza mbona kwenye ile picha kwenye gazeti la Mwananchi umati wote umeweka mikono kichwani?
Utani wana-CHADEMA kwa wana-CCM. Wakiambiwa "CCM oyee" wao wanajibu "uuuwi" na kushika kichwa kama kilio.
 
Hakuna cha kuhofia. Wao husema 'Ushindi unakuja'. Sisi twasema 'Muda unakuja'. Unaweza kuzuia hata bomu la nyukilia lakini huwezi zuia muda.

Kilimanjaro na Mikoa yote inayoamini mabadiliko kuwa ni lazima wanakilisha WIMBI la bahari linalosafiri.

Tsunami ilipiga Indonesia. Lakini wimbi la Tsunami lilifika mpaka fukwe za Pwani ya Tanzania.

Watu wa Tanga,Lindi na Mtwara (wanaaongoza kwa kufulia kila sekta.wazee wa gahawa, urojo na pweza) wakae tayari. Wimbi la mabadiliko linakuja. Na hakuna wa kulizuia.

Kwa wale wanaoota kurudisha majimbo kama Moshi Mjini kwenye mikono ya Mafisadi. Wasahau. Labda niwashauri --- Wahamie Tanga, Lindi na Mtwara.

Asanteni Chadema tumewa sikia dharau, kejeli na juba zenu. Kila la kheri na safari yenu ya "Ikulu"
 
Hawawezi, maana tulishaona tangu jana kwenye newz!
Napenda niwasifu watu wa Moshi, maana wameonyesha wazi kuichoka ccm.
Hawa ni mashujaa!
hongereni watu wa moshi, hongereni tena na tena, kwa kuwashangaza ccm,
 
Back
Top Bottom