tartoo
Senior Member
- Jul 2, 2010
- 129
- 2
Haya makampuni ya simu have very interesting internet packages and when you get enrolled they screw you hard big time!!
How?
Mfano; ukinunua tigo TShs 450 package a day make sure salio lako ni zero isibaki hata senti OTHERWISE;
Ukimaliza hiyo package ya siku [50MB] kabla siku haijaisha; Hawatakutaarifu ng'oo kwamba package imeisha (they roll you back to normal very expensive charges without your consent- which is unfair [wizi]) ambapo kama una salio lolote katika simu yako wataendelea kuitafuna big time mpaka iishe yote bila wewe kujua.Wakishamaliza ndio wanasepa na internet yao [wewe huna lolote so huna mpango].
Vodacom hivyo hivyo
Sina experiance na airtel
Huu kama si Wizi/Unyanganyi ni nini?