Wananchi wanaodai katiba = Wanazungumza kama bata kila kukicha - AG Werema

tartoo

Senior Member
Jul 2, 2010
129
2
Alisema kinachohitajika sasa hivi ni kupata michango mingi ya mawazo ya wananchi kuliko kupoteza muda kwa kile alichokiita kuzungumza kama bata kila kukicha - AG Werema

Phrase from Mwananchi second paragraph

Huku ni kutukosea heshima kabisa wana wa nchi

Nawasilisha
 
Werema ni mgonjwa wa akili kama wagonjwa wengine sema tofauti yake yeye amepata waangalizi... Au kama hana ugonjwa wa akili huwa anavuta b$¥¤¥
 
Werema amefikia hatua hii? Huyu jamaa anaakili timamu kweli? Aisee kweli hii nchi ina viongozi mambumbumbu sana.
 
Being a judge asizan kwamba statements zake ztakwamisha hili swala-huyu ni mmoja tu kati ya narrow minded wachache ambao hawatak katba ibadilishwe-but at last nazan watashangaa-coz as nothing is impossible-we will change it
 
Being a judge asizan kwamba statements zake ztakwamisha hili swala-huyu ni mmoja tu kati ya narrow minded wachache ambao hawatak katba ibadilishwe-but at last nazan watashangaa-coz as nothing is impossible-we will change it

Mkuu,

Ni watu wachache duniani ambao huchukua uamuzi wa kujinyonga.
Serikali. unapozungumzia serikali TZ,basi unazungumzia CCM wana maslahi binafsi."ubinafsi" wa kuendelea kuvuna faida kwa kutumia katiba hii iliyopo.

kwa hiyo wote waliomo katika Serikali na walio CCM hawawezi kusema kwa udhati kuwa wanataka Katiba yenye maslahi kwa Taifa.

Ubinafsi na siyo maslahi ya umma wa Tanzania ndio kitu kinachowaongoza akina Werema kutoa kauli wanazozitoa.
Tunafikiri baada ya mazoea waliyonayo ya ushindi ni lazima,mapinduzi daima watakuwa na ujasiri wa kujitoa muhanga kwa maslahi ya wananchi wote? kwa maslahi ya Taifa?

Ukweli wanaujua kuwa katiba hii iliyopo ni "uhuni" lakini nani yuko tayari kujinyonga?
 
DU! WASHIKAJI ACHENI JAZBA. NINGEKUWA MIMI NINGEMUOMBA MHARIRI AKACHAPISHA TAARIFA YA MH MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KWA KINA TUKAONA HOJA YAKE. kWA SENTESI MOJA ILIYONUKULIWA HAPO JUU HATUNA TAARIFA YA KUTOSHA YA KUWEZA KUMKOSOA AU KUMUNGA MKONO MHESHIMIWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI. HATA KAMA TUNGEKUWA NA TAARIFA YA KUTOSHA BADO TUNALAZIMIKA KUTUMIA LUGHA YA HEKIMA NA STAHA KATIKA MAJADILIANO YETU. KINACHOTAKIWA HAPA NI HOJA KUUNGA MKONO MAONI YETU NA SIO KUVUNJIANA HESHIMA.

NINGEMSHAURI MHARIRI WA FORUM YETU KUTORUHUSU LUGHA ZA MATUSI NA KASHIFA KATIKA FORUM YETU. TUJENGE HOJA KADILI TUWEZAVYO, TUUNGE MKONO MITAZAMO YETU KWA KADILI TUWEZAVYO NA TUPINGE HOJA TUSOZOKUBALIANA KWA KADILI TUWEZAVYO LAKINI TUSITUKANANE ANASEMA- GEORGE JINASA
 
Back
Top Bottom