Search results

  1. G

    Kama CCM wanataka serikali mbili, kwanini wanajadili katiba mpya?

    Wajumbe wa bunge la katiba wanaotokana na CCM wanatamba katika bunge la katiba kwamba wao wapo wengi na hivyo kwamba wana uhakika chochote watakachotaka kukipitisha kitapita. Wameanza na suala la Muundo wa serikali. Katika hilo la muundo wa serikali WanaCCM wanakuja na pendekezo la kusema kuwa...
  2. G

    Upigaji Kura za Maoni utakuwaje?

    Kwa wale tulizoea upigaji kura katika enzi ya vyama vingi, tofauti na wakati wa Mwl. Nyerere ambapo kulikuwa na kupiga kura ya ndiyo na hapana kwa ngazi ya urais, ni jambo la kawaida kuwa kila mgombea wa chama humweka wakala wa kusimamia kura zake hasa wakati wa kuhesabu. Baada ya kura zote...
  3. G

    Wabunge wanahujumu mjadala ya ripoti za kamati za bunge

    Kumbe wabunge wetu, pamoja na kuaswa na spika, wanashindwa kutofautisha mjadala wa hotuba za mawaziri wakati wa bunge la bajeti na mjadala wa hotuba za wenyeviti wa kamati za bunge. Mbunge anapoomba ujenzi wa barabara katika jimbo lake una maana gani? Wabunge wanapoacha kugusia yale yaliyotajwa...
  4. G

    Wazo langu: Sababu za makelele ya Wabunge kuhusu ubadhirifu unaofanywa na Serikali

    Jana tulishuhudia makelele mengi kutoka kwa wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma unaofanywa na serikali ya CCM. Kwa wabunge wa upinzani sina neno la kusema kwa sababu wao ndio wanaojua kutekeleza wajibu wa kuiwajibisha serikali kuliko wenzao wa CCM...
  5. G

    Nec: Hatuboreshi Daftari la Wapiga kura

    Ukisikia kuna uchaguzi mdogo hatukosi kuisikia Tume ya Uchaguzi nayo ikisema;"hatutaboresha daftari la wapiga kura, vituo vya kupigia kura vitakuwa vile vilivyotumika katika uchaguzi ulipita..." Ninapenda kujua kuwa gharama ya kuwaingiza wapiga kura wapya na kuwatoa waliohama ua kufa ili...
  6. G

    CHADEMA yapeta uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji - Babati

    Jana tarehe 23/10/2011 katika chaguzi zilizofanyika katika vijiji vitatu vya Bermi, Bonga na Endabeg, CHADEMA wamenyanyuka kidedea. Katika Vjiji vyote vitatu wagombea wa CHADEMA wamechaguliwa katika nafasi wa ueneykiti. Uchaguzi huo ulifanyika katika vijiji vilivyotajwa hapo juu, vijiji ambavyo...
  7. G

    CHADEMA, Endeleeni kukaza buti

    Wengi wetu tunatambua wazi kuwa kazi inayofanywa na CHADEMA na baadhi ya vyama vya upinzani inahitaji kuungwa mkono. Tunatakiwa kuunga mkono juhudi za CDM kwa sababu nyingi, zikiwemo hizi zifuatazo: 1. CDM wametufumbua macho sisi Watanzania kwamba Tanzania tuna raslimali nyingi ambazo...
  8. G

    Tahadhari: Serikali ijitazame

    Serikali inavyo vyombo vya kutosha kuweza kupata taarifa za vihatarishi vya amani na usalama wa nchi. Kwa kutumia taarifa hizo ndipo jukumu la kujilinda au kuzuia usalama wa nchi usipotee hutekelezwa. Kwa ugumu wa viongozi ambao hutakiwa kuchukua hatua wanaacha kufanya majukumu yao ya...
  9. G

    Mechi inaendelea kati ya CCM na CDM

    Mpambano bado unaendelea kati ya Timu ya CCM na CDM. Mpaka sasa CCM wameshabadilisha wachezaji (CC) lakini bado wanazidiwa kimchezo. Mechi ya kwanza CCM wamashapoteza baada ya kuleta Muswada wa Mapitio ya katiba wakati watu wanataka katiba mpya. Hata muswada huo pamoja na kwamba unazungumzia...
  10. G

    CCM wamekosa pa kushika

    Wameanzisha mbinu ya kuhadaa Watanzania kuhusu katiba mpya baada ya kugundua kuwa jambo hilo limekuwa dai la wananchi. Kwa bahati mbaya wanaoiwakilisha kwenye kongamano na mikutano ya kujadili katiba ni watu wasioweza kuiwakilisha vema CCM. Linapokuja suala la CCM kuwakilishwa katika...
  11. G

    Matukio ya Majanga na Viongozi wetu

    Mara nyingi kunapotokea matukio ya majanga kama yale ya mlipuko wa mabomu kule Gongo la Mboto tunaona viongozi wengi wanafika maeneo yale na kutoa matamko mbalimbali. Watu wanaweza kudhani kufanya hivyo ndiyo kuwajibika. Jambo ambalo haliwafurahishi wananchi ni ahadi zile zitolewazo wakati...
  12. G

    Wabunge wa CCM na mjadala wa Wabunge wa Chadema kususia Hotuba ya Rais

    Wabunge wa CCM siwaelewi kwa mambo yafuatayo: 1. Wanapoteza muda mwingi kujadili suala la wabunge wa Chadema kususia hotuba ya rais siku ya uzinduzi wa bunge la 10. Wenzetu wanachadema wametoka bungeni, wananchi tuliowachagua tunalifahamu hilo. Wananchi tuachieni jukumu letu, sisi tutaamua...
  13. G

    Baraza la Mawaziri halifanyi vikao siku hizi?

    Kauli zinazotolewa na mawaziri na hasa kuhusu Dowans linaiaibisha serikali. Ngeleja ameshasema vya kwake, Sitta tumeshamsikia na hatimaye Chikawe naye amezungumza hivi karibuni. Katika suala la Dowans kumejitokeza pande mbili zinazopingana katika hoja ya kuilipa Dowans. Mh. Sitta alituambia kuwa...
  14. G

    JK umetengeneza historia

    Hata kama baadhi yetu tutakataa kukubali ukweli ni wazi Jk ni rais wa kwanza katika historia ya nchi hii kuchukiwa na wananchi. Kwa upande mwingine hata yeye anaonekana hawapendi Watanzania. Ni mara yangu ya kwanza kuwasikia Watanzania wakitaka rais wao ajiuzulu. JK hata aking'ang'ania ikulu...
  15. G

    Je Polisi ndio wavurugaji wa amani?

    Jana (12/01/2011) yamefanyika mazishi ya wahanga wa mauaji yalilyofanywa na polisi bila ulinzi wa polisi na hapakuwa na uvunjifu wa amani. Kama wananchi waliweza kufanya shughuli zao bila ushiriki wowote wa polisi na bila uvunjifu wa amani wakati siku chache tu polisi hao waliwaingilia wananchi...
  16. G

    Nani yupo nyuma ya Mary Chitanda?

    Arusha imechafuka na kuingia katika historia kwa sababu ya huyu mama. Kila siku tunasikia Mary Chitanda (wengine wanaita Chatanda). Ukisikia uchaguzi wa Meya umekwama Arusha utaambiwa kwa sababu ya Mary Chitanda. Hivi huyu mama anaweza kuingia kwenye mkutano usiomhusu bila ridhaa ya watu...
  17. G

    JK unaipeleka wapi Tanzania?

    Oktoba 31 2010 ulichaguliwa kuwa rais wa Tanzania. Tunajua uliupata kwa njia ya uchakachuaji. Hata hivyo tumekubali yaishe kwa sababu katiba yetu ndiyo iliyokubeba. Tumeamua tukuache uendelee na urais wakati sisi tunahangaika na katiba yetu. Ulipogundua kuwa Watanzania tumegundua mbaya wetu...
  18. G

    IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

    Kama kweli serikali inawafahamu wamiliki wa Dowans haitoshi tu kusema kuwa JK siyo mmiliki wa Dowans na kwamba Dr. Slaa ni mwongo. Je kutuambia wamiliki wa Dowans kutaigharimu nini serikali? kuna siri gani katika kuwataja hao wamilki? Dk. Slaa aishika pabaya Ikulu • Yatumia maneno...
  19. G

    JK na IGP walikuwa Arusha siku ya kipigo cha Mh. Lema

    Kama ni kweli kuwa JK na IGP walikuwa Arusha siku ya tukio la mbunge wa Arusha kupigwa maana yake ni nini? Haina maana kuwa alikuwepo katika kupanga hayo yaliyotokea? Tunaweza kutafsiri vipi matukio haya ya vurugu katika chaguzi za wenyeviti na Mameya katika maeneo ambayo wapinzani wana nguvu...
  20. G

    Serikali inachochea migogoro ya kidini

    Nileongea na padri mmoja huko Sumbawanga kuhusu suala la waamini waliotengwa. Alinieleza kosa lililofanywa na waamini hao lilikuwa kushabikia suala la Utatu Mtakatifu kutumika katika kufananisha na nafasi za uongozi zilizogombewa katika uchaguzi wa Oktoba 31 mwaka huu. Kuhusu dadi ya...
Back
Top Bottom