JK umetengeneza historia

Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,247
342
Hata kama baadhi yetu tutakataa kukubali ukweli ni wazi Jk ni rais wa kwanza katika historia ya nchi hii kuchukiwa na wananchi. Kwa upande mwingine hata yeye anaonekana hawapendi Watanzania. Ni mara yangu ya kwanza kuwasikia Watanzania wakitaka rais wao ajiuzulu.

JK hata aking'ang'ania ikulu lakini ukweli unabaki pale pale kuwa mfungamano wako na mafisadi kumekuponza. Sikumbuki kama umewahi kutoka tamko lolote linaweza kukuonesha kama rais wa nchi. Umewahi kuwaambia wezi warudishe fedha za EPA. kauli kama hiyo haina hadhi ya kirais. Afadhali ungekaa kimya kuliko kusema kitu kama hicho.

Tunaomba ujifikirie vyema kama unastahii kuendelea kuwa Ikulu wakati watu wanaataka ujiuzulu.
 
Dawa yake tufanye kama tunisia period ili aondoke mana kaziba masikio
 
Jakaya Gbagbo Mrisho Kikwete, yupo ikulu kwa maslahi binafsi hana huruma na watz na hajui kwa nini sisi ni maskini.
 
...according to you and fellow chaggas who have dominated all the media and sufficate others views and opinions
 
kacheka mno na nyani shambani na laiti kama angekuwa anagombea msimu wa 3 sipati picha kama angepata kura.
 
Back
Top Bottom