CHADEMA yapeta uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji - Babati

Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,247
342
Jana tarehe 23/10/2011 katika chaguzi zilizofanyika katika vijiji vitatu vya Bermi, Bonga na Endabeg, CHADEMA wamenyanyuka kidedea. Katika Vjiji vyote vitatu wagombea wa CHADEMA wamechaguliwa katika nafasi wa ueneykiti. Uchaguzi huo ulifanyika katika vijiji vilivyotajwa hapo juu, vijiji ambavyo vipo katika wilaya ya Babati - Mkoa wa Manyara.Hongera CHADEMA
 
Mkuu hivyo vijiji ni kata gani,halmashauri gani,mkoa gani?usisahau na source

Peeeplo.......zzzzzzzzz!
 
Mkuu basi nimepitia upya hapo juu umeeleweka mkuu,hakika kwa mwendo huu 2015 napaona mbali sana maana tayari nuru imeshachomoza
 
mkuu kwani watangulizi wa hao walioshinda walitoka chama gani? lakini hata hivyo ccm wasitegemee kushinda maeneo ya wambulu kwani waliwaudhi kwa kuendelea kumkumbatia adui yao marmo na kumfukuza kipenzi chao slaa. lazima watie akili na hawa jamaa huwa hawarudi nyuma wakisha sema no. Nyerere mwenyewe alichemka na chief sarawat.
 
hongereni chadema.Mungu wangu azidi kuwabariki ili muendelee kuwachachafya wapinzani wenu ccm.mia
 
Chadema mwendo mdundo. Dozi kama kawa. Mpaka Magamba watie akili. 2015 Naona kama mbali sana!
 
Vizuri sana sasa itabidi wachagua mabalozi watakao mpa riport za nyumba kumi kila mmoja wale wa ccm awaondoe apange safi upya si inaruhusiwa?
 
mkuu kwani watangulizi wa hao walioshinda walitoka chama gani? lakini hata hivyo ccm wasitegemee kushinda maeneo ya wambulu kwani waliwaudhi kwa kuendelea kumkumbatia adui yao marmo na kumfukuza kipenzi chao slaa. lazima watie akili na hawa jamaa huwa hawarudi nyuma wakisha sema no. Nyerere mwenyewe alichemka na chief sarawat.

siamini haya maneno umeya type kwa mikono yako.
 
Jana tarehe 23/10/2011 katika chaguzi zilizofanyika katika vijiji vitatu vya Bermi, Bonga na Endabeg, CHADEMA wamenyanyuka kidedea. Katika Vjiji vyote vitatu wagombea wa CHADEMA wamechaguliwa katika nafasi wa ueneykiti. Uchaguzi huo ulifanyika katika vijiji vilivyotajwa hapo juu, vijiji ambavyo vipo katika wilaya ya Babati - Mkoa wa Manyara.Hongera CHADEMA

Mkuu Gurtu taarifa nzuri sana hiyo, heko CDM, miongoni mwa taarifa ambayo napenda kusikia.
 
siamini haya maneno umeya type kwa mikono yako.

Habari ndio hiyo. Wairaq'w a.k.a Wambulu wanaangalia zaidi mtu (mgombea), chama si zaidi kwao. Na kwa wale ambao hawajui serikali nyingi na halmashauri za vijiji ktk maeneo yao ni ya CHADEMA. Fuatilia vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa ujao (2014) utaona moto ukiwakia CCM kwa maeneo yaliyobaki
 
Nawapongeza Babati na wote wanaotoka Kaskazini huku nikiumia kuona Kagera tunazidi kurudi nyuma kila uchao kwa kuwakumbatia ccm. Yaani sijui nini kifanyike?!
 
Back
Top Bottom