Search results

  1. Janjaweed

    Nani mbadala wa Lowassa ndani ya CCM?

    Wanajamvi, kama member mwingine yoyote, with limited knowledge on what is happening to CCM, nina swali moja tu: Nani anafaa kuwa mbadala wa Lowassa katika CCM presidential candidate?? Nauliza hivi kwasababu agenda ya chama tawala, chama dola na chama kikubwa kuliko vyote afrika mashariki na...
  2. Janjaweed

    Hii ingefaa sana kama ingekua univesral law

    Watoto wa viongozi wa Africa, na ndoto za aibu to western countries I am dreaming of a day where all the looted money and assets deposited in the outside world will be confiscated and returned to the home countires Teodoro Nguema Obiang: The lavish looter who could lose it all - Americas -...
  3. Janjaweed

    Najua leo umeme utawaka muda wote wa mkutano wa ccm nchi nzima

    Wadau, Kuthibitisha tu kwamba even our mashirika ya umma na public firms ziko kisiasa zaidi, leo umeme hautazimika hata iweje nchi nzima ili kupisha propaganda za chama tawala. it is more likely to happen Wasiwasi wangu ni precedent tunayoi-set hapa... kwani hizi luxury ukizizoea siku ya siku...
  4. Janjaweed

    Tunaanzaga hivihivi... wakitaka wa ukweli tunaishia kushangaa

    Naona jamaa anaanza kugawa demo... Mkoloni akipenda anarudi tuomba apewe wale wa ukweli!!
  5. Janjaweed

    What matters in love

    Aisee..... me wondering kipi kina mvuto zaidi kwa akina female when it comes to men, ni SURA au... mambo ya fwezaNA SEXY CARS??
  6. Janjaweed

    Things that drive men crazy...

    I saw this on Yahoo and i though it is worth sharing Top 5 things that drive men crazy By Laura Schaefer Men love women. They do. But that doesn’t mean women don’t drive them crazy. Even after oceans of ink have been spilled about...
  7. Janjaweed

    Je ni sawa kupenda mtu na dada yake

    Wadau, This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani bado hawajafika ile hatua ya physical nanihii I told him its ok, ila cha maana ni kufanya maamuzi na...
  8. Janjaweed

    Ultimate betrayal

    I cant find better way to describe our national relationship between Tanzania and her very own son, JK We are a country on our knees, and in this situation.. many poor people expect their leader to lift up his arm make people listen to him and make some tough decision and (in management)...
  9. Janjaweed

    Nini hatma ya katibu mkuu wa Nishati na Madini?

    David Jairo kaamua kuachia ngazi
  10. Janjaweed

    Nani alisema nchi ipo gizani?

    Wakati watanzania wakiwa bize kuvuta hewa za kerosene na kemikali zote mbaya na hasa kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta hivyo kulazimisha wake zetu kutumia magazeti kuwasha moto, waziri wa giza na masuala yote ya kunufaisha mafisadi, mwanasheria kitaaluma na msukuma wa nguvu sana...
  11. Janjaweed

    Jerry Slaa a.k.a. Dogo Janja Punguza Camera fanya Kazi na sio kuuza sura

    Mdogo wangu dogo Janja, ukitaka kukwea mnazi basi usipige vigelegele Fanya kazi kwa bidii na suifanye kazi kwa media, tunaopima utendaji wako ni sisi raia wa kawaida Umeanza kuzidi sasa kutumia camera... be careful, huwa wanachafua vibaya sana hao waandishi wa habari Hukutumwa kupiga...
  12. Janjaweed

    Elections 2010 Performance ya wabunge wa mkoa wa dar

    Wakuu so far wabunge wamejitahidi kuwa karibu na wananchi, kufuatilia yanayojiri nk... Ila mbunge wa kigamboni kwakweli ameiangusha kabisa CCM, bado yupo usingizini :hand:
  13. Janjaweed

    Mgeni achana noti Mwanza Airport !

    Wakuu, Tanzania ni nchi nzuri na watu wake wana heshima ya ajabu... inasikitisha sana kuona mgeni anakuja, anatukana watoa huduma wetu na mengine mengi, lakini mara nyingi sisi kama watanzania hukaa kimya na kufunika kombe nimesoma habari moja ya Mpakistani kuchana noti ya Tanzania nikasikitika...
  14. Janjaweed

    Tanzania tuko serious

    nasikitika kusema kwamba watanzania, tukiongozwa na viongozi wa kidini, kisiasa na mambo ya huduma ya jamii tumeng'ang'ana na kampeni ambazo tunajua kwa zimeshachakachuliwa na kusahau mambo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu tumelala fofofo kiasi kwamba hatujui hata shida za vijijini zaidi ya...
  15. Janjaweed

    Nipo mwanza leo - wa mwanza mpo?

    Wadau wapendwa, leo nimeingia mji wa Mwanza na kwa furaha kubwa saaana tu kuna yeyote aliye mwanza tutafutane jamani?? kituko ni kwamba nimekutana na sewerage inajengwa ukitoka tu airport, furaha iliyoje kupokelewa na hili jambo
  16. Janjaweed

    Vita vya panzi ndani ya nyumba

    Really funny!!! Hii ni true story kabisaa, kuna dada mmoja kamegwa na mume akagundua, sasa jamaa akamconfront mwizi wake na kumuomba aache... mwizi akaacha, basi imekua tabu nyumbani! mwanamke anashindana kulazimisha jamaa waendelee kwani mme anamsimanga nyumbani kwa kuachwa na sasa anaitumia...
  17. Janjaweed

    Hivi tuko Mwaka gani?

    Wanajamii; nimeamka na kukuta kwenye news headline mambo ya Richmond, Dowans, EPA, BOT wtin tower, kipindupindu, kingunge bado mbuge, manji bado ni mwanachama wa nguvu CCM, rostam hajafungwa, kikwete napanda pipa tena. zaidi ya hapo eti bado kwenye soka kuna timu mbili tu, yaani yanga na...
Back
Top Bottom