Je ni sawa kupenda mtu na dada yake

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,157
10,655
Wadau,

This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani bado hawajafika ile hatua ya physical nanihii

I told him its ok, ila cha maana ni kufanya maamuzi na kujiandaa kumuumiza mmoja wao, which may cost him a wonderful partner... pia ajiandae na mazingira magumu sana ya mawasiliano.

Kama kaka nilimaliza kwa kusema awe very straight kwani yuko juu ya kuti kavu....

brothers and sister, kama ungekua wewe ungemshauri vipi kijana? he is in his prime, 28 years, working na ndio anaanza kufunguka na maisha yake
 
Yeye anahisi wanapenda kutokana na kauli yake kama ulivo sema hapo juu ANAVYOHIS , lakni inawezekana sio hivyo.

I recall siku za nyuma nilikuwa na gf na dada zake/rafiki zake/hata ndugu zake walio kuwa wananijuia wale wakike walikuwa wananipenda sana, kwa sababu mimi nampenda dada yao/rafiki yao/ndugu yao, ndo na wao wakawa nanipenda...Huyo dogo kachanganyikiwa akisha endelea na safari yake, atakuja fahamu kama hapendwi kama anavyo fikiria yeye.
 
Kupenda kwa namna gani? Nijuavyo mimi si mbaya kumpenda mtu na dada yake kwani twapaswa kama binadamu tupendane. Amri kuu tuliyopewa na Muumba ni KUPENDANA so simbaya!
 
Hapo naongelea kitu kinaitwa kupendwa kwa kawaida sio kupendwa kimapenzi nadhani umenielewa.

Huyo mtoa mada anasema rafiki yake anahisi anapendwa na wasichana wawili mtu na dada yake, lakini sidhani kama anawezwa kupendwa kimapenzi kama anavyo hisi yeye...Msisahau wanawake wao wako tofouti na sisi yani akisha penda basi lazima atamueleza dada yake tu, kama kapenda huwa hawajifichi.

Nyie jaribuni kuwasoma wanawake mtu na dada yake wanakuwa very close kuliko wanaume mtu na brother yake...hao siri zao wanambizana sana.

Yani huyo rafiki wa janjaweed, nadhani anaota tu kama mtu na dada yake hawajui kama mmoja wao anampenda huyo, labda sio wasichana/wanawake ni watu wengine.
 
huwezi penda watu wawili equally.
Ikitokea hivyo, ujue hakuna 'love' labda 'lust'.

Always, hata uwe na patina 20, yupo anayekukuna haswa wengine ni kwa maslah tu.

Aachane nao wote, akasake kwingine kabisa.
 
Kuna ubaya gani akipendwa na ndugu hao? Kwani walimwambia wanataka kuolewa naye wote wawili? Hisia za ajabu kweli kweli.
 
huwezi penda watu wawili equally.
Ikitokea hivyo, ujue hakuna 'love' labda 'lust'.

Always, hata uwe na patina 20, yupo anayekukuna haswa wengine ni kwa maslah tu.

Aachane nao wote, akasake kwingine kabisa.
Kabisa kabisa huyo hata nini mana ya kupenda nadhani hajui bado, afu cha ajabu anasema; Anahisi wanampenda wote wawili, hisia sio ukweli we mwache abaki anahisi, ataendelea tu kuhisi.
 
akuna mapenzi mapacha ata dk 1...et unawapenda wawil..mmh apana LABDA KM ANAWATUMIA KWA MASLAHI FLAN LAKIN KM KALE KAPENDO KENYEWE KA KWELI mhh u cant love watu wawil..afu ndg wote...

ajichunguze mmoja anampenda na mmoja anampenda cz ni bf wa dada/mdg wake
 
Asipoangalia atatengeneza bomu baya sana. Hakuna mapenzi kama hayo
 
Hana lolote anataka awavue nguo wote atimue,na kama kweli anaakili timamu basi afikiri tena na tena sababu haitokua rahisi kama anavyo fikiria....
 
This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani bado hawajafika ile hatua ya physical nanihii

hivi waweza kuwapenda wote au kutamani wote.......na labda kumpenda mmoja wao tu. Yaelekea kunanii ndicho kipimo chako cha mahaba......................lol
 
huwezi penda watu wawili equally.
Ikitokea hivyo, ujue hakuna 'love' labda 'lust'.

Always, hata uwe na patina 20, yupo anayekukuna haswa wengine ni kwa maslah tu.

Aachane nao wote, akasake kwingine kabisa.
kongosho kwa mipweint bana!
 
Back
Top Bottom