Tunaanzaga hivihivi... wakitaka wa ukweli tunaishia kushangaa

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,157
10,655
Naona jamaa anaanza kugawa demo... Mkoloni akipenda anarudi tuomba apewe wale wa ukweli!! tembo.JPG
 
very true.... na ikifika hapo sasa ndio tunaanza anao-anao, mara wizara, mara wawindaji nk
si umeona wale mtu na mume wameuwa na majangili? unafikiri hawaoni maana yake ? sisi tumelala tu acha wachukue wpote tubaki jangwani.
 
kwa raha zao babu weeeeeeee! wanapulizwa na kiyoyonzi hukuwanakwea pipa. wewe mtanzani wala hujui ndan inafananaje
 
Halafu eti mtoto wa mkulima! Kuuza nchi yetu? Tena atakaa kwenye siti unacheza na wakoloni nini.
 
Back
Top Bottom