Search results

  1. BOB LUSE

    Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana. Haijalishi miaka mingapi...
  2. BOB LUSE

    Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc. Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/...
  3. BOB LUSE

    Hakuna mtu asiye na Mapungufu, tusilaani Viongozi

    Nimeona Viongozi wa awamu mbalimbali nchini,kwenye kada tofauti,kasoro mkoloni.katika medani ya siasa na uongozi maeneo mbalimbali, wengi wao wamepata umaarufu baada ya kuondoka madarakani,walipigwa Kwa maneno magumu ya kuwalalamikiwa na kuwalaani wakiwa madarakani. Kila mtu ni malaika akiwa...
  4. BOB LUSE

    Wafanyakazi kutoka nje wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo

    Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini. Kwa miaka mingi, wanalipwa mafao yao yote bila kujali kikokootoo. Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi gani, kuepuka double standard
  5. BOB LUSE

    Makadirio TRA foleni inatisha!

    Kuna Tatizo la Watanzania kufikiri na kufanya Maamuzi magumu yenye manufaa. Makadirio Kwa makampuni wanaruhusiwa kujikadiria kupitia kwenye mfumo bila Tatizo, japo nao mtandao wakati Mwingine ni tatizo. Shida ipo Kwa Watu binafsi na walipa Kodi ambao hawajasajili makampuni tunazuiwa kufanya...
  6. BOB LUSE

    Changamoto ni sehemu ya maisha!

    Usitafute maisha yasiyo na changamoto, utafeli asubuhi, ukifanikiwa katika maisha utakuna na changamoto zake, ukifeli pia utakuna na changamoto. Ukiwa na Elimu kubwa, ukikosa Elimu, ukiwa juu, ukiwa chini, ukisali na kuabudu, pia usiposali na kuabudu, changamoto zipo. Changamoto zinaleta radha...
  7. BOB LUSE

    Kuepuka Utekaji Polisi wasikamate watuhumiwa bila Shaidi kuwepo!

    Kila ukisikiliza taarifa za watu waliopotelewa na ndugu, utashangaa sana, Polisi, wanawaelekeza wamempeleka mtuhumiwa kituoni, Wakienda kituoni Baadae hayupo! Wizara iweke Kanuni ya kutoruhusu Mtuhumiwa kukamatwa bila Mtuhumiwa kuwa na Shahidi atakayejiridhisha wapi mtuhumiwa...
  8. BOB LUSE

    Rais aliyeshindwa umeme, Asipewe nafasi nyingine

    Nchi yetu inakuwa Kwa kasi, Ujenzi wa Makazi, Biashara,Viwanda. zinaongezeka Kila kukicha, Tunashukuru Mungu.Viongozi wetu wanapaswa kwenda na kasi hiyo katika mipango yao. Miaka michache ya utawala uliopita ilionekana tatizo la Umeme limedhibitiwa. Umeme wetu unatumia vyanzo vya maji, Gesi na...
  9. BOB LUSE

    Tuchunguze Viongozi wenye Uchu, wapenda rushwa Wanavyoacha Mali zenye laana wakifa

    Nimechunguza watu walioiba, wakafungua biashara nyingi na kujenga majumba, kununua hisa na viwanja. Kwa hela halamu za rushwa na wizi. Viongozi wengi wakitoka madarakani, afya zina yumba, biashara zinakosa kinga, watoto wanaobakia hawajari namna mzazi alivyotunza mali za wizi/rushwa nk...
  10. BOB LUSE

    Ni kweli tunatamani anguko la CCM, lakini nani Mbadala wake?

    CCM ni chama kikongwe, kilichojaa wanachama wa Kila aina za tabia, watu Wazuri, wezi, wanyang'anyi, waporaji, wauaji n. K , Mambo yake mabaya yanakera na kuhatarisha usalama na amani ya nchi. Tukitazama upande wa mfumo wa kisiasa ambao inabidi mbadala wa CCM apatikane kwenye mfumo wa vyama...
  11. BOB LUSE

    Pamoja na mjadala wa Bandari, kuna janga la uhaba wa Dola ya Marekani

    Tumejikita kwenye Mjadala wa BANDARI, lakini pia tuangalie athari za kuadimika Kwa US Dollars, Kuna Athari kwenye Mikataba yenye kulipwa Kwa Us dollars bill; ukiwa na safari za nje ni ghari mno. Kibaya, kunatokana na supply ya US dollars kuwa ndogo, Waziri wa Fedha aeleze, tatizo n Nini? Mpaka...
  12. BOB LUSE

    Upinzani ni kama CCM, ni Wanasiasa tu hawana Jipya

    CCM imejenga Mfumo wa kuendelea kuhodhi madaraka Kupitia vyombo mbalimbali vya Utawala,Maamuzi na Dola. havijawekwa kwa bahati mbaya. Toka enzi za Mwasisi wa Taifa,aliweka Katiba,kanuni zinazotoa nafasi kubwa kwa CCM kushinda. Wapinzani ni Muhimu Sana katika nchi kwakuwa wanapima na kupendekeza...
  13. BOB LUSE

    DSTV na Watangazaji feki wa kombe la Dunia!

    Kuna kampeni ya kutumia Lugha zetu za kiafrika katika kuwasilisha Matangazo ya Mpira Mashindano ya kombe la Dunia. Hawa Watangazaji ni Vishoka,hawana umahili wa kuwafahamu Wachezaji na kutangaza mpira! Wajanjawajanja tu Wanasoma historia za matukio ya timu na Wachezaji! Hakika wanaondoa radha...
  14. BOB LUSE

    TCRA mnatambua hili?

    HALO WIN!! Umepokea milion Saba Tsh7,000,000,00 kutoka HALO WIN V. A.T 18% piga Simu TCRA No 0654307882 kupokea pesa Yako Ahsante!
  15. BOB LUSE

    TIGO Wasumbufu Sana!

    Nimenunua umeme wa Luku,juzi Kupitia njia ya simu! Hele zimekatwa,token sijapewa,nimepiga huduma kwa wateja nirudishiwe Mwamala wangu,siku ya pili nazungushwa! Subiri,hatujui Lini mtandao utakaa sawa ili urudishiwe hela zako! Naomba TCRA waingilie hili swala la usumbufu na Dhuluma kwa...
  16. BOB LUSE

    Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

    Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA" Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga. Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa...
  17. BOB LUSE

    Ubovu wa barabara ya Kitunda Mwanagati

    TARURA, TANROAD, LATRA, MKUU wa MKOA DSM. Barabara ya Banana Mpaka kitunda Mwanagati,ni kero nzito kwetu,Wakina Mama waja wazito, Watoto wa Shule,wafanyabiashara na wakazi kwa ujumla. Kuna km 1 ya Rami imeharibika,ipo kiwango Cha kokoto Sasa zaidi ya miaka mitatu, eneo Makaburini mpaka kitunda...
  18. BOB LUSE

    Utaratibu huu wa kuondoa taka mara mbili tu kwa mwezi sio mzuri

    Tumeletewa Mkandarasi wa kuzoa takataka na uongozi wa Serikali ya Eneo letu, takataka zinachukuliwa baada ya wiki mbili. Naomba watu wanaohisika na Afya na Mazingira waingilie swala Hili na kuzuia huu wizi na kuepuka kurundika takataka kwa mda mrefu kama huko! Watu wakishatoa rushwa na kupokea...
  19. BOB LUSE

    Tenda wema na Haki kutawala na kukalia kiti ni majaliwa ya Mungu

    Rais anadanganywa na wanaomzunguka! Alianza akiwa na nia safi, anataka kufuta watu machozi kwa kutenda HAKI. Amekonga mioyo yetu kwa kuachia baadhi ya watu waliohujumiwa haki zao na vyombo vya dola. Hao waliomzunguka ndio waliokuwa wanasifia Maovu ya mtangulizi wako, Leo unawasikiliza badala ya...
  20. BOB LUSE

    Nchi inahujumiwa na waliokalia viti

    Watu wengi wanaotuongoza kwa ridhaa yetu au bila ridhaa yetu, wanabaki kuwa Viongozi katika kipindi hicho. Wengi wana hulka za kibinadamu za kujipendelea wenyewe kunufaisha mfumo wao na familia zao. Tunahitaji mabadiliko ya FIKRA za watu, kwakuwa hata wasio na madaraka wakipata madaraka hawana...
Back
Top Bottom