BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,584
- 2,898
CCM ni chama kikongwe, kilichojaa wanachama wa Kila aina za tabia, watu Wazuri, wezi, wanyang'anyi, waporaji, wauaji n. K , Mambo yake mabaya yanakera na kuhatarisha usalama na amani ya nchi.
Tukitazama upande wa mfumo wa kisiasa ambao inabidi mbadala wa CCM apatikane kwenye mfumo wa vyama. umejaa watu wale wale,wenye kasoro nyingi, Uovu, Hila,wasio na itikadi ya Dhati, wako tayari kununuliwa na kuunga mkono CCM wakati wowote wakifikiana Maslahi, hawako tayari kuhesabiwa Kwa wanachokiamini na kukisimamia, Leo wanaongea hili, kesho lile.Mfano COVID-19, kumkaribisha Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.n.k
Kweli CCM ni Vibaka wazoefu, lakini Hawa ndugu zetu wa upande wa pili, wako tayari kudhaminiwa? Nchi ipi ilikabidhiwa nchi ikiwa na upinzani uliong'olewa kama huu?
Nchi hazifanyiwi majaribio, Vyama vya Siasa vimeshindwa kuwa na utulivu, uvumilivu wa Viongozi wake ni kuhama na kuhamia na kuanzisha vyama, kwenda CCM! Kuna ombwe la uongozi baada ya Jpm kuvuruga umoja katika vyama hivyo.
Mungu ibariki Tanzania,Tupate Viongozi wasio na price tag.