Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

BOB LUSE

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
3,619
2,997
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu.

Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana.

Haijalishi miaka mingapi imepita, Fanya YAFUATAYO Ili uwe Salama
1) kuwa mtu wa ibada
2) Epuka ukaribu wa kubakia watu wawili tu katika Mazingira ambayo watu hawapo.
3.) Nafsi yako ijaze na neno la Mungu badala ya hao viumbe
4) Futa namba za simu/ mawasiliano mengine,meseji Moja unaweza kukutoa relini
5) Usipende kufuatilia ishu zake,Kwa rafiki zake,mtandaoni etc mind your own business
6)Kuwa kwenye campany ya mtu mwingine ikibidi kuonana naye .
7) Weka sura ya kazi mkionana naye Kwa bahati mbaya.usicheke na kima.

Be blessed, mmoja anaweza vuka hapo.
 
Kupasha kiporo hakuhitaji moto mwingi
 
wewe acha wazimu huyo ni expired an example of what i shouldnt have in future, yan ukishaanza kunipa mixed signals, oh babe unajua kila mtu ashinde mechi zake, hua sirudi nyuma, kamwe haitakuja kutokea nikarudiana na ex wangu haijalishi tuliachana vipi
Yakumbuke maneno yako! Hujafa hujaumbika,there past which refuses to be tense. Endelea kushika ulicho nacho.
 
Back
Top Bottom