Search results

  1. Ruge Opinion

    We need Associate Auditors

    We are looking for qualified people to work with us on non-permanent basis. This means that you will be called upon whenever the need arises. We are looking for persons: With impeccable integrity Self-driven and able to work with or lead a team of auditors With proven experience of, at least...
  2. Ruge Opinion

    You are told lies about the war in Syria - Boston Globe

    This is an interesting expose in the Boston Globe. I have always doubted the spins by the Western press on the Syria and Iraq wars. This article confirms by fears. Go to this link: http://www.bostonglobe.com/opinion/2016/02/18/the-media-are-misleading-public-syria
  3. Ruge Opinion

    Eneo linauzwa Changanyikeni Mkuranga

    Nauza eneo la ardhi lenye ukubwa wa takribani ekari 4. Halina hati rasmi. Liko sehemu inayoitwa Changanyikeni kama kilometa tano hivi kutoka Vikindu (barabara kuu ya kwenda mikoa ya Kusini). Ni karibu na barabara. Linafaa kwa kilimo, ufugaji na makazi. Lipo karibu na mto ambao una maji mwaka...
  4. Ruge Opinion

    Tahadhari ya Ebola: Kuna Jamii Zinazokula Nyani au Jamii ya Nyani na Popo Tanzania

    Wanajamvi, tunaambiwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Ebola ni muingiliano wa binadamu na wanyama wanaobeba virusi vya ugonjwa huo, hasa kwa kula nyama ya nyani na aina fulani ya popo. Mimi binafsi haya maelezo nayatilia shaka kwa sababu ndiyo hayo hayo yaliyotolewa kuhusu virusi vya UKIMWI. Lakini...
  5. Ruge Opinion

    DFID inahusikaje na kurudishwa pesa za wizi kutoka BAE?

    March 7, 2012 12:13 pm BAE yet to pay £29.5m false accounting fine By Caroline Binham, Legal Correspondent BAE Systems is yet to pay the £29.5m that it owes Tanzania as part of a fine for false accounting, with questions to be formally answered in parliament as soon as Wednesday...
  6. Ruge Opinion

    Education in finland: We once had a similar approach!!!!!

    What Americans Keep Ignoring About Finland's School Success By Anu Partanen Dec 29 2011, 3:00 PM ET 1357 The Scandinavian country is an education superpower because it values equality more than excellence. Sergey Ivanov/Flickr Everyone...
  7. Ruge Opinion

    Sale of old computer and document production equipment

    I am selling old computers, UPS, a photocopier, and printers. I was using the equipment in my 'stationery' business. They are not in perfect condition but they can be repaired and used or cannibalized for parts. The details are as under: 1. Computers: Dell Computer: very old Compaq V50...
  8. Ruge Opinion

    Kingunge Ngombale Mwiru

    WanaJF, kuna huyu mzee Kingunge Ngombale Mwiru ambaye amekuwa mtu muhimu sana katika siasa na sera mbali mbali za Tanzanai tangu enzi za Mwalimu Nyerere mpaka sasa. Huyu mtu alijulikana kama kichwa kilichokuwa nyuma ya Nyerere kuhusu uanzishaji na uendelezaji wa siasa na sera za Ujamaa hapa...
  9. Ruge Opinion

    Wezi wanapowashuku wezi wenzao, au ni mpango wa kutupora mara ya pili?

    News Global development Poverty matters blog...
  10. Ruge Opinion

    Elections 2010 Marufuku ya watumishi wa uma katika siasa ni kwa upinzani tu?

    Katika gazeti la Mwananchii la leo (uk.2) kuna taarifa kutoka Makete, Iringa, kuwa watumishi watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete wamesimamishwa kazi kwa sababu ya tuhuma ya kujihusisha na maswala ya siasa katika uchaguzi mkuu uliopita. Mkurugenzi Mtendaj wa Halmashauri hiyo anadai kuwa...
  11. Ruge Opinion

    Action against racism

    I believe this will be of interest to JF members: Well done Oprah and British Airways TWO TRUE STORIES ABOUT RACISM 1) I'm sure many of you watched the recent taping of the Oprah Winfrey Show. Her guest was Tommy Hilfiger. On the show, she asked him if the statements...
  12. Ruge Opinion

    Msaada: Solar powered water pump

    Heshima wanaJF, Naomba msaada/ushauri. Kijijini kwangu kuna shida sana ya maji salama kwa matumizi ya binadamu. Nimekuwa nikifikiri sana namna ya kupambana na hili tatizo bila kungoja serikali na ahadi zake ambazo uchukua miaka kuzitimiza. Bahati nzuri tuko karibu na mto ambao kwa kiasi kikubwa...
  13. Ruge Opinion

    Hivi Siku Hizi Shule Hazifundishi Punctuation na Singular/Plural

    Nimekuwa na kazi ya kusoma ripoti mbali mbali zilizoandikwa katika lugha ya Kiingereza. Kuna mambo mawili ambayo nimeyaona katika ripoti nyingi. La kwanza ni kutotumia alama za vituo kama coma, colons, semi-colons,nk. Mtu anaandika paragraph yenye mistari zaidi ya kumi lakini hakuna kituo hata...
  14. Ruge Opinion

    Elections 2010 Uchakachuaji wa kura unaanzia mbali: Taasisi ya takwimu nayo imo

    Jamani maandalizi ya wizi wa kura yanaanzia mbali. Labda ndiyo sababu CCM huwa wanajitapa kuwa mbinu zao ni za kisayansi. Gazeti la THE CITIZEN la Ijumaa, tarehe 29/10/2010 lilichapisha takwimu kutoka Taasisi ya Takwimu (National Bureau of Statistics - NBS) ambapo NBS ilidai ni makisio ya...
  15. Ruge Opinion

    Huu si ufisadi in the making?

    Wednesday October 13, 2010 Local News Four-lane plan for Dar es Salaam - Morogoro highway...
  16. Ruge Opinion

    Uchaguzi: Kura ya maoni radio free africa

    Wana jukwaa kuna kura ya maoni kwenye tovuti ya Radio Free Africa (Radio Free Africa | The Sound Of Africa) inayohusu nani wadau watamchagua kuwa rais. Matokeo mpaka sasa ni Dr. Slaa (80%), JK (11%), wengine ni insignificant. Hii ni radio ya mkereketwa wa CCM. Sijui na hii watasema iko biased?
  17. Ruge Opinion

    What is tanzania good at?

    Guys, the African Athletics Meet has just concluded in Nairobi, Kenya. As usual Tanzanian athletes are returning home like tourists without a single medal to justify their presence there. What is our problem? What do we excel in? We are not good economically, we are limping in educational...
  18. Ruge Opinion

    Ku-doctor Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita

    WanaJF, kuna mtu amenidokeza kuwa kuna mchezo wa ku-doctor matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na sita ili shule za serikali nazo zionekane zinafanya vizuri. Nimeambiwa katika mkoa fulani baadhi ya shule za binafsi zilikataa matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani na uhakiki ulipofanywa...
  19. Ruge Opinion

    Marekani waanzisha mkakati wa kuingilia mgogoro wa musevevi na lra

    Taarifa zilizosikika kwenye vyombo vya habari ni kwamba marekani imeanzisha mkakati wa kuingilia mgogoro wa Uganda na Lord's Resistance Army. Watu wengi, akiwemo rais Museveni wa Uganda, wamehoji ni kwa nini Marekani imengoja muda wote huo watu wameuawa na kuteseka sasa ndiyo wanaamua kuingilia...
Back
Top Bottom