Sale of old computer and document production equipment

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Mar 22, 2006
1,838
701
I am selling old computers, UPS, a photocopier, and printers. I was using the equipment in my 'stationery' business. They are not in perfect condition but they can be repaired and used or cannibalized for parts. The details are as under:

1. Computers:

  • Dell Computer: very old
  • Compaq V50: functioning but needs attention
2. Printers:

  • HP Laserject 6L: little used
  • HP Deskjet 640C: best for cannibalization
3. Photocopier NP 6317: best for cannibalization
4. UPS: APC 650: working

Price negotiable after inspecting the equipment. They can be bought as one lot or piece by piece. They are located at Makuburi (Mabibo External), Dar es Salaam. If interested call me: 0653 324136 or 0754 775273
 
Mh, kwa sisi tuliokimbia umande ukiniambia ku-cannibalize computer hata sielewi unamaanisha nn!!!! Hizo makitu naona ziko extremely old!!!! Mimi nina chumba kizima kimejaa hayo madude nimekosa njia sahihi ya kuyadispose; nadhani ni wakati muafaka serikali ikawabana watengenezaji wa haya mavitu wawe wanachukua madudu yao yanapomaliza muda wake wakayachemshe supu au wayachome mishkaki watajua wao! Nilikuwa sijakuamkua Mkuu, SALAMA KAKA? Salmia shemeji na wajukuu!
 
SALAMA Amoeba. Sidhani kama ulikimbia umande kama unavyosema. Salamu zako nimezifikisha. Ku-cannibalize ni kuchukua vipuri kutoka kwenye mashine moja na kuzifunga kwenye mashine nyingine. Neno cannibal maana yake ni 'mtu anayekula nyama ya binadamu'. Tatizo la komputa na vitu vingi vya IT ni kuwa plastics. Si rahisi kuviuza kama chuma chakavu. Lakini nadhani kuna business potenial ya kukusanya vitu kama hivyo uka-recycle plastics na kuchukua vipuri ambavyo vinaweza kuuzika. Nitaanza kulifanyia kazi. Hicho chumba chako kilichojaa 'madude' huenda kikageuka 'treasure house'. Ahahaha.........
 
Kuna aina 2 za plastic. Zile za computer zinaitwa thermo setting plastic. Kufanyia recycling ni impossible!
 
Back
Top Bottom