Uchaguzi: Kura ya maoni radio free africa

Ruge Opinion

JF-Expert Member
Mar 22, 2006
1,838
701
Wana jukwaa kuna kura ya maoni kwenye tovuti ya Radio Free Africa (Radio Free Africa | The Sound Of Africa) inayohusu nani wadau watamchagua kuwa rais. Matokeo mpaka sasa ni Dr. Slaa (80%), JK (11%), wengine ni insignificant. Hii ni radio ya mkereketwa wa CCM. Sijui na hii watasema iko biased?
 
nayo itafungwa hii!
JK anakazi kubwaa sana ya kuchakachua matokeo.
 
Itafungwa muda si mrefu; mwaka huu ni wa dr slaa na nyota yake nyeupe; ndio maana nakumbuka 2005; shehe yahya alichambua nyota akagundua JK angeshinda; mwaka huu lifanya ikaonekana Slaa anashinda; ikabidi asiongelee ndio akaanza kutisha ooohh rais mmojawapo atakufa; na huenda katabiria UPDP na ambayo itakuwa pigo tena

Slaa anashinda hadi kwa shehe yahya mwenyewe pamoja na maujinga yake
 
Watayachakachua fasta..
MABADILIKO muhimu tukitaka kusonga mbele kimaendeleo..
 
nayo itafungwa hii!
JK anakazi kubwaa sana ya kuchakachua matokeo.

Au watasema kura za maoni kupitia mitandao na TV hazionyeshi picha halisi kwani wengi Watz hawana vitu hivyo au ujuzi wa kutumia Internet!!!

Hii inadhihirisha ukweli kwamba wanaotarajiwa kuipigia kura CCM ni wale katika jamii ambao hawakwenda shule, au wamepata elimu ya mpakazo tu, watu ambao CCM inapenda sana kuona wanaendelea kuwapo.
 
Polls

Nani kati ya hawa utamchagua kuwa rais wako?


  • Dr. Slaa (81%, 39 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (10%, 5 Votes)
  • Prof. Lipumba (8%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (0%, 0 Votes)
  • Mutamwega (1%, 0 Votes)
 
nimejaribu kuvote inakataa. Ukivote for Dr Slaa inakwambia you have already voted wakati huja-vote. Sijajaribu kuvote for JK, I wouldnt dare even trying voting for JK.
 
  • Dr. Slaa (82%, 41 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (10%, 5 Votes)
  • Prof. Lipumba (8%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (0%, 0 Votes)
  • Mutamwega (0%, 0 Votes)
Total Voters: 50
 
Nimesikia tetesi kwamba serikali inatafuta vipengele vya sheria zilizopo ili kupiga marufuku aina zote za kura za maoni wakati wa kampeni za uchaguzi.
 
Tayari imefungea haipatikani; mtu akipata atoe snapshot otherwise hatutathibitisha haya maelezo

Tafuta



Recent Posts



Recent Comments



Who's Online

6 visitors online now
5 guests, 1 bots, 0 members

Polls

Nani kati ya hawa utamchagua kuwa rais wako?

  • Dr. Slaa (81%, 39 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (10%, 5 Votes)
  • Prof. Lipumba (8%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (0%, 0 Votes)
  • Mutamwega (1%, 0 Votes)
Total Voters: 48
 
Kha zitaongezeka mara dufu hizo kura kisha mtandao utafungwa huo.
 
Walichonifurahisha RFA ni kumtaja Kikwete kama anavyostahili (Jakaya Mrisho Kiwete) na Slaa (Dr Slaa). Wao wanajua udaktari wa heshima haustahili kutumiwa kwenye majina ya watu. Big up sana RFA
 
Nimesikia tetesi kwamba serikali inatafuta vipengele vya sheria zilizopo ili kupiga marufuku aina zote za kura za maoni wakati wa kampeni za uchaguzi.

Hata wakipata kipengele sisi tumesharidhika na matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanyika kwani zote zinatoa mshindi ni Dr.Slaa kuendelea kupiga kwa sasa ni redundant information.
 
attachment.php
 

Attachments

  • RFA Online Poll.JPG
    RFA Online Poll.JPG
    66.8 KB · Views: 213
Lakini mwenye mali naye tunaambiwa ana PhD ya kuchakachua? Ukiwasikiliza kwenye matangazo yao hawakosi kumuita Dr.
 
Nani kati ya hawa utamchagua kuwa rais wako?

  • Dr. Slaa (86%, 54 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (8%, 5 Votes)
  • Prof. Lipumba (6%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (0%, 0 Votes)
  • Mutamwega (0%, 0 Votes)
  • Total Voters: 63
bado Dr slaa anatesa..ila wapiga kura ni wachache only 63 so far including mm
 
nimejaribu kuvote inakataa. Ukivote for Dr Slaa inakwambia you have already voted wakati huja-vote. Sijajaribu kuvote for JK, I wouldnt dare even trying voting for JK.

Mkuu, Inawezekana unashare IP Address hivyo inawezekana kuna mtu amekuwahi kwa kuvote.
 
Back
Top Bottom