Search results

  1. luvcyna

    Swali fikirishi: Kuhusu Uwezekano wa Magufuli kugombea Mitano Tena 2025

    Hello JF Ninaswali kuhusu katiba yetu ya sasa, Je endapo Magufuli ataangushwa na Lissu kwenye uchaguzi huu, upo uwezekano wa yeye kugombea tena 2025 ili kumalizia tena ngwe yake ya pili ya mitano tena? Kama inaruhusu, Binafsi ningependa apewe nafasi ya kugombea tena kama atashindwa kushinda...
  2. luvcyna

    Uchaguzi 2020 Lissu anatumia njia gani kukusanya mafuriko yake?

    Ndugu zangu wa upande wa pili mimi mwanachama dormant wa mboga mboga, nina swali kwenu Kwa kweli nimeshindwa kuelewa Lissu anatumia njia zipi kukusanya umati kwenye mikutano yake, bado nashindwa kukubali kama ni hizi spika za matangazo peke yake zinazopita masaa mawili kabla. Leo alipita katika...
  3. luvcyna

    Je, alcohol Spraying ina madhara yapi kiafya?

    Ndugu zangu wa JF salam kwenu, Kwa wataalam na wenye uelewa wa mambo ya afya naombeni elimu kidogo kuondoa hofu niliyonayo na umri huu akili imevurugika kabisa. Nilitoka safari jana nikiwa nadrive my own vehicle kwa hofu ya hili janga la corona. Nyumbani kwangu kuna utaratibu wa kumspray kila...
  4. luvcyna

    Nitatokahe chattel..

    Ghafla imegeuka kisiwa si lori si basi si baiskeli inayoruhusiwa kuingia wala kutoka. Sijui nimechelewaje kutoka Aaah
  5. luvcyna

    JWTZ Haya mazoezi yenu ya kurusha rusha ndege mngeyafanyia porini sio mijini

    Tangu kumekucha ni milio mikali ya ndege zinazofanyiwa mazoezi na Jeshi. Hivi Hawatambui kuna wagonjwa mahospital na majumbani? Imeshindikana vip kufanyia mazoezi yenu huko porini? Yani ukikaa kidogo unasikia sauti kali mno yani mie niliye mzima zinanipa shida hivi sasa najiuliza vipi kwa...
  6. luvcyna

    Msaada; Nashindwa ku-update apps kwenye Iphone 6

    Wapendwa habari zenu.. Napata tabu kidogo na hii simu, some apps hazifunction tena inaniambia ni update kwanza. Now nikijaribu ku update inaniambia kama kawaida kuingiza password na id ya icloud. Then kila nikiingiza inanipa ujumbe kuwa account hiyo haipo icloud. Napaswa kufanya nini...
  7. luvcyna

    Uuzwaji wa nyumba za Umma na upotevu wa bil.380 kama ilivyoainishwa kwenye ripoti ya CAG 2014/2015

    Ni Muhimu Kwa Mh. Magufuli Kutolea maelezo kashfa hizi mbili zinazomkabili kama alivyofanya Mgombea wa Ukawa Mh.Lowassa alipolitolea ufafanuzi suala la Richmond whether vya kutosha or otherwise. Ukimya huu wa CCM hautaeleweka Kwani tupo tusiofungamana na upande wowote tusipopata maelezo ya...
  8. luvcyna

    TB Joshua: Arsenal wont win any trophy until New royal baby become a King

    Utabiri umetimia haujatimia??? Waumini naombeni majibu au ni just kautelezi, au wajanja walihack account??
  9. luvcyna

    Hip Hop!!

    Punda milia ana mistari kinoma lakini hana hata single
  10. luvcyna

    Nukuu: Wanaoongoza Kiti Bungeni Mbumbumbu wa Kanuni

    Katika Mjadala wa jana ITV kipima joto,. Mheshimiwa Tundu Lissu ameeleza wazi kuwa kiti hakijui Kanuni ama hakijui namna ya kuzitafsiri kanuni. Akitolea mfano ulio hai wakati wa Bunge la 10 lililoisha wiki iliyopita, baada ya fujo zilizotokea bungeni Naibu spika anaiagiza kamati ya Bunge ya...
  11. luvcyna

    Ccm leo ndani ya kata ya nkoanrua alikozaliwa edo lowassa

    salam sana wanajamii wenzangu... Napenda kuwaletea taarifa kuwa CCM ndo wamepania kufunika haswa katika kata mama wanayoitegemea kuliko zote kata ya Nkoanrua ambayo katika uchaguzi uliopita ilimbeba mgombea wao Jeremia Sumari vilivyo na kumuachia nassary kura 28. Baada ya CDM kupita maeneo hayo...
  12. luvcyna

    Woman Vs Beer kipi zaidi???

    Most men like women. But, most men like beer too ! So, for men it becomes a rather confusing choice between women and beer ! Following is a debate, developed by the University of Mumbai, India.... To help you analyze which is better ! Here is the debate ....... A Beer is...
  13. luvcyna

    EBOO!! Ina maana hii shule ni ya massawe na wanawe tu....

    http://196.44.162.33/necta2011/CSEE%202011/s1513.htm CNO SEX CANDIDATE NAME AGGT DIV DETAILED SUBJECTS S1513/0001 F AGRIPINA ALEX MASSAWE 26 IV CIV-C HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-C PHY-D CHEM-F BIO-D B/MATH-F S1513/0002 F AGRIPINA GOTFRID MASSAWE 18 II...
  14. luvcyna

    Changamoto za Uchaguzi mdogo ujao kwa CDM

    Kwa wapenzi wa CDM... Nimeona ni vyema tukilijadili hili la changamoto zilizopo ili ikiwezekana zifanyiwe kazi mapema kabla ya kuingia ulingoni Katika uchaguzi mgumu wa majimbo huu utakuwa mmoja wapo kwa sababu zifuatazo; Jimbo la Arumeru Mashariki Laweza kuwa ngome kubwa kwa mtu kama Lowassa...
  15. luvcyna

    how to unlock ideos mobile phones with tigo netwek

    Habarini wakuu.. Naombeni tusaidiane hapa kwa wenye uelewa na hivi vitu,. Ni namna gani nitaweza ku unlock sim hii niweze kutumia mitandao mingine tofauti na tiGo. kila ninapoweka line nyingine inaniambia enter unlocking codes....nikajaribu kutumia calculater software za huawei nikipachika codes...
  16. luvcyna

    24 new season releasd?

    habari zenu wandugu poleni na pilikapilika za xmas, naombeni kujua kama 24 wamesharelease new season katika series yao as nimekuwa nikiona advertisements ITV abt the coming 24 ambayo binafsi hizo highlights sijawahi ziona katika 24 zote nilizozitizama. Nawasilisha
  17. luvcyna

    QN; Gharama Halisi za Kuimport Gari Nchini

    Asalam wanajamvi Nimejaribu kufunuafunua baadhi ya website za TRA na kukutana na hii kitu, EEA and JAAI inspection must be done in Japan before importing the car to Tanzania TAX RATES C.C Import Duty Excise duty Extra Depreciation duty VAT Depreciation...
  18. luvcyna

    Unlocking Ideos Android za tigo!!

    Naomba kufahamu kama kuna njia yeyote ya kufungua hizi simu mnisaidie wazee wa technology... Apart from that nafanyaje sim inapopata tatizo la kutokurespond on some of the keys especially zilizo kwenye screen like backspace key... naomba msaada wenu wakuu
  19. luvcyna

    ROMA MKATOLIKI CV!!!! Sio tu Msanii??

    Huyu kijana huwa ananigusa mno na mashairi yake...hii imepelekea kubaki na maswali mengi kichwani kila ninaposikia nyimbo zake, je inawezekana....?? Ila hapana, kuna kila dalili akawa na zaidi ya usanii unless mashairi yake yawe yanatungwa na mwingine naye awe mwimbaji tu...tofauti na hivyo...
Back
Top Bottom