TB Joshua: Arsenal wont win any trophy until New royal baby become a King

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
Utabiri umetimia haujatimia??? Waumini naombeni majibu au ni just kautelezi, au wajanja walihack account??
 
Attachments

  • 1400357993688.jpg
    1400357993688.jpg
    17.4 KB · Views: 908
Hapo kaunabii kalitereza.nadhani mungu wake hakupiga lamri vizuri.
 
Huyu namuonaga ni mfanyabiashara anaetumia vibaya Maneno ya Mungu ku manipulate akili za watu na kujiongezea utajiri wake. Alisema Arsenal haitochukua kombe lolote mpaka kale katoto katakapokuja kuwa mfalme. Sasa lile la FA ni nini?
 
Hilo sio "kombe" ni "kakikombe".

Tiba
 
Na ile ya ndege ya malaysia si mnakumbuka?alisema itaonekana hv karibuni,naona kimyaaa.Imani bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom