Search results

  1. Cholemasaki

    Rais Shein autangaza mji wa Zanzibar kuwa Jiji

    From Stone Town to Stone City
  2. Cholemasaki

    Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    I rarely comment, ila hii imenibidi tu.
  3. Cholemasaki

    Dar Mpaka Moro Miaka ya 1950

    Sijui ilichukua muda gani kusafiri from Dar to Moro kwa barabara ya aina hiyo?
  4. Cholemasaki

    Thread maalum kwa wanaohitaji hotel, lodge kwa mikoa yote Tanzania

    Safi mkuu. Naenda Wilayani Bunda wiki ijayo, nahitaji hoteli nzuri. Any suggestions.
  5. Cholemasaki

    Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

    Gari haina pupwe, mvua ikinyesha, ukifunga madirisha yote ni shida humo ndani.
  6. Cholemasaki

    Ushauri kuhusu Nissan X-Trail

    Tatizo gearbox, ukiweka hydraulic ambayo siyo special kwaajili ya nissan umeumia, besides natafuta engine na gearbox ya Xtrail kwa bei nafuu, aliyenayo anipm
  7. Cholemasaki

    Pasi ya kijerumani

    As in inatumia solar?
  8. Cholemasaki

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Binafsi sidhani kama tutayapata mabadiliko tunatoyataka kwa Membe. Naona itakua business as usual kwa miaka mingine kumi ijayo
  9. Cholemasaki

    Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

    Eti Mheshimimwa Wema Sepetu. I cant imagine yani
  10. Cholemasaki

    Hivi ni kweli ananipenda?

    Una umri gani mkuu? Maana!!! Anyways ngoja waje
  11. Cholemasaki

    Kuna nini Tegeta Dar es salaam? Mbona kuna miale mikali ya mwanga kwa angani?

    Hata mimi nimeiona, nahisi ni mtambo wa umeme umelipuka maana umeme umekatika mara tu baada ya hiyo miale kuonekana
  12. Cholemasaki

    Gertrude Weaver awa mtu mwenye umri mkubwa duniani baada ya kifo cha Misao Okawa

    Inawezekana wapo, tatizo wazee wetu wa zamani hawajui miaka exactly waliyozaliwa. Anakwambia alizaliwa kipindi flani tu
  13. Cholemasaki

    Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

    Kundi lao lilikua linaitwa G8.
  14. Cholemasaki

    Kuna aliyepata adha ya mafuta leo?

    Nimezunguka vituo kama vinne leo asubuhi (DAR), vyote havina mafuta. Wanasema kunatatizo depo. Kituo nilichopata mafuta nimekuta bei imepanda, imekuwa 1755. Kuna mwingine aliyepata adha hii leo?
  15. Cholemasaki

    Msaada biashara ya Tractor

    Noted mkuu... Asante sana
  16. Cholemasaki

    Msaada biashara ya Tractor

    Na wewe ni useless vile vile
  17. Cholemasaki

    Msaada biashara ya Tractor

    Jukwaa hili ni useless kabisa :(
Back
Top Bottom