Yuko wapi Waziri Mkuu Mizengo Pinda?

ImageUploadedByJamiiForums1438593150.133880.jpg
 
Ni ngumu kumeza pale waziri mkuu ambaye amekuwa akijibu maswali ya papo kwa papo Bungeni na kuonekana kuwa na busara tele, kumbe hana kabisa maadili na sifa ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi; wakati katiba inampa nafasi endapo Rais hayupo nchini.
 
Miaka minane yote ya Uwaziri Mkuu alikuwa hajaijua vizuri Mamlaka ya Juu yake. Anajuta sana kutopiga mizigo mikubwa kama ya Escrow kwa kuwa aliogopa kuchafuka, kumbe Hakuwa chaguo. Wenzie akina Tibaijuka, Mtemi Chenge, Muhongo Mzigo wamekula na Kura za Maoni wameshinda
 
Yupo zake kwenye shughuli za kilimo na ufugaji wa nyuki ndyo kazi anayoipenda, uwaziri na siasa alivamia fani tu.
 
CCM ni watu wa ajabu sana achulia mbali Waziri mkuu, sikutegemea makamo wa Raisi kukosa sifa za kuwa Raisi wa nchi, ni tofauti na mataifa mengine ambapo cheo cha umakamo wa Raisi huwa hupewa mtu ambaye baadae huja kuwa raisi kamili wa nchi.
 
Miaka minane yote ya Uwaziri Mkuu alikuwa hajaijua vizuri Mamlaka ya Juu yake. Anajuta sana kutopiga mizigo mikubwa kama ya Escrow kwa kuwa aliogopa kuchafuka, kumbe Hakuwa chaguo. Wenzie akina Tibaijuka, Mtemi Chenge, Muhongo Mzigo wamekula na Kura za Maoni wameshinda

Hii kali sana mkuu ingawa haileweshi
 
CCM ni watu wa ajabu sana achulia mbali Waziri mkuu, sikutegemea makamo wa Raisi kukosa sifa za kuwa Raisi wa nchi, ni tofauti na mataifa mengine ambapo cheo cha umakamo wa Raisi huwa hupewa mtu ambaye baadae huja kuwa raisi kamili wa nchi.

Tuache Utani Sasa Yule Mkata utepe ana Uwezo kweli wa kuwa Rais na akatoa maamuzi?

Kwa bahati mbaya Tanzania hatujawahi kuwa na Makamu wa Rais ambaye ni Strong na kumfikiria kuja kuwa Rais labda kidogo yule Omar Juma nilikuwa namuona ana "tuvigezo"
 
Habari wakuu,

Tangu uteuzi wa watia nia wa urais kupitia CCM umalizike na yeye kukatwa, hajaonekana tena wala kusikika. Hata TBC wakimuonesha kwenye mashamba ya zabibu hakuna. Je, yuko wapi?

Chezea chozi la mtu mzima tena mwanaume?!yuko kijijini kwake kibaoni anaugulia kwa kutoaminika na boss wake waliofanya wote kazi kwa zaidi ya miaka 8
 
Wajameni Mtoto wa Mkulima, Mhe. Mizengo, Kayanza, Peter Pinda yupo tele!. Kesho yeye ndie mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonyesho ya kilimo 88 yanayofanyika katika uwanja wa Ngongo Lindi. Jioni angalia utamuona kwenye TV zote!.

Pasco
 
Back
Top Bottom