Thread maalum kwa wanaohitaji hotel, lodge kwa mikoa yote Tanzania

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,564
21,560
Habari wakuu,

Kumekuwa na thread nyingi zinazouliza hotel, Lodge nzuri za kufikia kwa mikoa mbalimbali hapa Tanzania.

Nimeona nianzishe thread hii maalumu kwaajili ya watu kupata maelekezo ya hotel na Lodge mbalimbali kwa wadau wenzetu wanaohitaji kufahamishwa.

Tuanze na hapa Dar es Salaam;

Kuna hotel ya Giraffe, kiukweli ni hotel nzuri mimi nishawahi kufika hotel hiyo na kupumnzika ni pazuri mazingira yake ni mazuri.

Nawasilisha
 
Iko poa but ungeanza na wewe mahali ulipo!! Ngoja nikazisome majina nirudi fasta!!
 
Wakuu, sehemu gani nzuri ya kufikia maeneo ya Magomeni pamoja na gharama zake pia. Natoka mkoa kesho asubuhi nategemea niwepo ndani ya jijia Dar es Salaam mida ya mchana hivi. Msaada tafadhali.
Natanguliza shukurani.
 
Mkuu mie Magomeni sio mwenyeji kabisa. ila nikipita huwa naona hotel hotel
 
Tuanze na hapa Dar es Salaam;
Kuna hotel ya Giraffe, kiukweli ni hotel nzuri mimi nishawahi kufika hotel hiyo na kupumnzika ni pazuri mazingira yake ni mazuri.

Hii Hotel mbona kama imeshafungwa
 
Back
Top Bottom