Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

Haya mambo yanakera sana nilipoanza maisha nilinunua zuku nikasikia Azam local channel bure nikahama nikamia Azam nako huko wamefungia local channel na kutulazimishia TBC, ni bora wangetuacha na mfumo wetu wa kuzungusha antenna ule ule maana hiz channel zikikataga roho huwa inaniuma sana
 
Mkuu mbona Simple, nunua dish la futi6, kisha mtafuta fundi atakuunganisha na local zote na hutakaa ulipie tena Local Channels.

Mm hapa nina FTA channels za ukweli na hizo local, silipii na uzuri zaidi natumia receiver yAo Azam kupata vyote hivi.
 
sijakuelewa
Washa decoder yako kisha weka hata Tv1 au local yoyote ile acha on kama unataka kwenda kuoga kaoge Baada ya kati ya dk 5 mpaka 15dk zitafunguka local zote bila kulipia

Note:lazima uwe kwenye kifurushi cha Mambo,kama uko kifurushi kingine jihamishe kwa Mambo kifurushi cha Mambo kwanza
 
Leo katika kujaribu kuwasha tv yangu naambiwa local channel haijalipiwa. Huu utaratibu umeanza lini na kwanini tcra hawakutangaza kitu kama hiki. HAKIKA TUNAKOELEKEA NI KUBAYA SANA
Mbona mm natumia startams .na local Chanel zipo zote.Kama kukatwa labda zikatwe leo asubuhi maana tokea nizime TV Jana mida ya SAA tano usiku. Sijaiwasha,Na kuna jirani yangu mmoja alikuja kwangu akashangaa local Chanel zote bure na zipo clear. Wakati yeye analipia na chenga tupu
 
mimi yamenikuta jana na leo nimetumiwa msg eti nilipe kwanza ndo nitazipata izo channel si bora ninunue dish na receiver kuliko ujinga wa star times

Na huko ndiko tunako kwenda unless na hizo satellite channels za local wazi scramble.
 
Back
Top Bottom