Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

Duuuuh!
Shikamoo platinumz!....kiukwel anajua sana kucheza na akili za watu!
Leo hawatalala tena huko, watashinda wanatukana tu!
 
Wema Na Diamond Ni Kama Tom Na Jerry.Vikatuni Kwa Ajili Ya Kutuonesha Vituko.Tucheke Tufurahi Ili Siku Ziende
 
ImageUploadedByJamiiForums1437765649.893503.jpg
 
naona wameandika kama vile leo ndio ametoa shukurani, na siku hizo alitoa shukurani nyingi sana kwa wana Singida.

Nafurahia anawakumbusha wana Kilimanjaro wasikose kufika kumuona leo akifanya show tamu tamu mpaka kieleweke

#watanyooka tu

msisahau kupiga kura tuzo za Nigeria Awards na Afrimma USA
sechi utazipata...Afrimma voti mara nyingi tu, ingine kila siku rudi

Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi
 
Nligombeaga Hall representative chuo, NIKAKATWAAA jamani nililiaa kila MTU nilimuona mwangaaa....Sipati picha ana hali gani.
Maumivu yanayo husiana na siasa yana uma sana halafu ndio mtu anaweza kudhani kila mtu ampendi
 
Hapo wema ulikosa wa kuwapa nyolo! ili uteuliwe maana wapiga kura wote ni wanawake! buu! #wema na team wategemea kushika biki.ni mkononi ili watusue, acha nilale mie!
 
Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi

Nyie mnaojishuku ndio mnaweweseka. Diamond yupo busy na mashabiki wake halafu nyie mnaanza kuleta ujinga wenu. Kwani kushukuru wanasingida ni dhambi? Au kuna time limit ya kutoa shukrani?
 
Tatizo tulilonalo watz kwa sasa ni watu kupenda fursa yoyote hata kama Hana uwezo ili mradi tu apige hela! Dawa Yao ni kuwanyoosha tu! Na huyo jokate, Kiba, Wema et. al watagulia one after another coz wana chuki mbaya and badly enough not yet matured! Diamond atafika mbali sana mpaka awe sababu Yao kukondeana kutokana na kirusi cha distructive competition ambacho Kiko ndani Yao.Mtanyooka tu!
 
Back
Top Bottom