proffesa issa
Senior Member
- Jan 6, 2015
- 118
- 51
wadau kuna nini kinachoendelea tegeta mbona tunaona kuna miale mikali ya mwanga kutoka huko?
Hata mimi nmeona proffesa nikaogopa
Kwani tegeta kuna kambi gani ya jeshi?
kwani gem ya Barcelona na Juve ni lini?:confused2::confused2::confused2:
Hapa naona 2+ inatoka! lazima 'nitie' mzigo wa maana....
usimwambie mtu..:A S-rap::A S-rap:
Hata mimi nimeiona, nahisi ni mtambo wa umeme umelipuka maana umeme umekatika mara tu baada ya hiyo miale kuonekana
Hata mimi nimeiona, nahisi ni mtambo wa umeme umelipuka maana umeme umekatika mara tu baada ya hiyo miale kuonekana
nipomaeneo ya tangibovu hapa nimeiona aisee mikali balaa nategea iwake tena
kuna transforma limelipuka huku mbezi juu kama unaelekea ghoba ndolimetoa hiyo miale na sauti kubwa ya kutisha. Tanesco tafadhalini mjemrekebishe mtatuunguzia nyumba na mali zetu. limekuwa likilipuka mara kwa mara ila leo too much wa2 kidogo 2poteze miguu 2lijua ndokishanuka tena!
Usiondoke hadi iwake , tunataka picha