Gari Dogo CC216 ,Lita 1 km36 Lipo Nchini kwa sasa

inatumia rejeta?
Yeah katika review yake wamesema hilo.

"Engine & Gearbox
Bajaj Qute is powered by a water-cooled DTSi, 4-valve, triple spark petrol engine, which develops maximum power of 13 BHP @ 5500 rpm and maximum torque of 19.6 NM @ 4000 rpm. The engine is mated to a 5-speed transmission. The company claimed mileage figure of Qute is 36 kmpl and top speed of the quadricycle is 70 kmph.Dimensions & Weight Overall length of Bajaj Qute is 2752 mm, width is 1312 mm, height is 1652 mm and the kerb weight of the car is said to be 400 kg. For easy manoeuvrability the turning radius of the quadricycle is 3.5 metres."
 
dhuu hlo nilionaga kitambo ndo limefika bongo sasa! naona twisting force inalingana na ktm duke 200
 
Nadhani watalifanyia improvement zaidi with time ila tukumbuke kuwa hizo features za sasa ndio zinafanya liuzwe usd 2000, ingawa pia bado naona ni gharama ukilinganisha na ubora wake kwa sasa. The more the features the higher the price tag
 
tusubir for indian market sababu kwa sasa wametoa kwa afrca ,usa, australia na pengnepo cha india cjui kitakuwaje
 
hiyo sio ya kwenda nayo mkoa, kwa mishe za mjini hapa kanafaa sana, mafuta ya fifty yanasongesha

RE60.jpg

Hili gali linaimili kubeba watu wanne na lina uwezo wa kukimbia speed 70 kpm gharama zake ni million 6 , karibu kama wewe mbania mafuta na upendi kupanda basi, linaweza kupenya kama bajaji, lakini kukamwatwa na trafiki ukipenya ni kama kawa.

Mkuu habari haka kagari nakapataje nipo hapa dsm
 
sio gari hiyo ni pikipiki ya miguu mi4 au bajaji kwa jina maarufu na ni brand ya Bajaj toka India,,kwa wahind zilishaanza toka mwk jana ile
 
Back
Top Bottom