Search results

  1. I

    Naomba kujua dawa ya kipele kigumu ambacho hakiumi ila nilikichokonoa kinatoa damu mara kwa mara

    Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua dawa ya kipele fulani kigumu ambacho hakiumi ila nilikikwangua kinatoa damu mara kwa mara ingawa hakiumi kabisa. Kipo kwenye kidole gumba cha mkono kushoto.
  2. I

    Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma?

    Habari zenu ndugu. Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma? Pia ninawezaje kusikiliza Upendo FM huku Dodoma?
  3. I

    Ndoa yakwama kufungwa Kanisani Luhanga, Dar es Salaam

    Nimesikia juzi jmosi kuna harusi imevunjwa baada ya kugundulika kuwa biharusi alikuwa anafunga ndoa kanisani kwa mara ya pili na mume mwingine. Harusi hii ilikuwa kanisa la katoliki Kigogo Luhanga..... Kuna anaejua lolote khs hii? ======================================== Chanzo:Tanzania Daima
  4. I

    Hivi ukiwa Star au Celebrity ni lazima ukae uchi uchi mbele za watu?

    Mimi napata taabu sana kulielewa hili kwa maStar wa bongo, especially wanawake.... Hivi hamuoni kuwa mnajidhalilisha kwa kuonyesha nyeti zenu mbele ya kadamnasi, au msipofanya hivyo mtapunguza uStar wenu? Mimi naona huu ni ulimbukeni wa kuiga tamaduni za watu wengine! Unajisikiaje picha zako...
  5. I

    Masikini Wema Sepetu, Kakumbwa na Balaa Jingine tena!!

    Leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Redio kinachorushwa kila Jtatu hadi Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana nimesikia kasheshe iliyomkuta Wema ya kugongewa gari lake. Inasemekana kuwa alienda kushoot film katika pub fulani ya Pededjee anaesemekana kutembea nae sasaivi. Mkewe...
  6. I

    Nimejua kwanini Pinda alilia na suala la mauaji ya albino

    Baada ya kuona hii picha ktk blog ya michuzi nimegundua kuwa Mh. Pinda alilia kuhusu suala la mauaji ya albino sababu anae mwanafamilia ambaye ni albino (mjukuu). Angalia picha hii ambayo amepiga akiwa likizo kwao Mpanda na wajukuu zake.
  7. I

    Jamani inasikitisha hali ya afya ya Sajuki mme wake Wastara

    Siku za karibuni nilisikia kuwa anaumwa sana, ana uvimbe tumboni ambao unakua kwa haraka. Pia wasanii wenzie walifanya harambee ktk ukumbi wa Amana, Ilala ili wachangishe hela apelekwe India kwa matibabu. Sijasikia lolote tangu hapo
  8. I

    Jamaa aliyetaka kujirusha kutoka ghorofa ya 8 ktk hotel ya hyatt regency (ex-kilimanjaro)

    Magic FM walitangaza tetesi kuwa kuna mtu alikuwepo ghorofa ya 8 katika hotel ya Hyatt Regency (ex-Kilimanjaro) na alikuwa anataka kujirusha iwapo hataonana na kuongea na IGP Mwema in person. Kuna anaejua kilichoendelea baada ya hapo? Kama alifanikiwa kumpata IGP au alijirusha au.......?
  9. I

    TANESCO... Mgao ndo umeisha?

    Badra Masoud funguka mdada, tuambie wananchi kama mgao kwishnei au ni aje maana tunaona siku hizi umeme hatukatiwi....Ndo kusema bwawa Mtera limeshajaa au huu umeme watokea wapi??!!
  10. I

    Wema Sepetu - Hivi uzuri ni kukaa uchi mbele ya kadamnasi????

    Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha...
  11. I

    Tanesco huu ni urasimu na wizi mtupuu!!

    Wadau naomba nililete hili kwenu ili tushauriane, mimi kiukweli linanikwaza mnooo jinsi wizi huu wa kimachomacho tunaofanyiwa watanzania bila wenyewe kujijua wala kufikiri...... Mwananchi akitaka kuweka mita ya LUKU kwake analipia zaidi ya laki 450 na bado mita inabakia kuwa ya Tanesco...
  12. I

    M-pesa na tigo-pesa kunani?

    Mara kadhaa nimekuwa nikitaka kutumia huduma aidha ya m-pesa au tigo-pesa nashindwa kufanikiwa au inachukua muda sana, ukiwauliza wahusika wanasema 'mtandao upo down'..... hivi sababu ya mitandao hiyo kuwa down most of the times ni nini? Naombeni maelekezo wajuzi wa jambo hilo becoz I am in...
  13. I

    Ally Kiba yu mzima wa afya

    Napenda kuwajulisha wadau na wapenzi wote wa Ally Saleh Kiba kuwa yu mzima wa afya njema. Nasema nikijiamini kwa kuwa nimemuona mwenyewe kwa macho yangu sasaivi akiwa 'live' katika kipindi cha 'Friday Night Live' kinachorushwa na EATV. Amesema alipata michubuko tu kidogo, hakuumia...
  14. I

    Habari hizi ni kweli kuhusu matrafiki?

    Jana jioni wakati narudi home kutokea Mwenge nilikuta foleni ya ubungo mataa kuelekea Mwenge imepitiliza njiapanda ya sinza makaburini inaelekea Mlimani City na matrafiki na mapolisi wa kawaida wamejaa kibaao wamekamata magari mengi yanayopita service road.... katika ongea ongea ndani ya...
Back
Top Bottom