Wema Sepetu - Hivi uzuri ni kukaa uchi mbele ya kadamnasi????

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha kufanya sehemu ya chini ya makalio yake ionekane.....ilim'bidi kila mara awe anaishusha hiyo nguo, najiuliza sasa anaishusha kwa nini kwani alipovaa alitegemea nini? si akae tu hivyo hivyo ili watu wafaidi kuona makalio yake......@$%&^*

Wema, UZURI WAKO UTAONEKANA TU HATA UKIVAA NGUO ZA HESHIMA, jiheshimuu! Mama mkwe wako (mamake Diamond) akiona hiyo picha unadhani atakuonaje? .....kiukweli umewaaibisha wanawake wenzio........
 
Ndio maana mnaambiwa kabla hujaoa unatakiwa kumchunguza. tatizo mabindi wengi na vijana wanaochipukia utineja umewazidi, kiasi kwamba akili za kuchanganua lipi afanye na lipi asifanye hawana, ndio maana unaona wema wala hajisikii kinyaa kukaa uchi hadharani. Tunaomba sheria ziwekwe jamani kuwa mtu mzima ambaye hajagundulika kuwa mwenda wazimu atakapo kaa uchi au kuvaa mavazi ya kudhalilisha ubinadamu wa mtu basi akamatwe na afungwe si chini ya mwaka.
 
yule ni changudoa,kwa nini avae vile?jana alikuwa na kanumba,leo ana diamond kesho atakuwa na mwingine.Diamond angalia kaka,utaliwa kekundu!
 
siyo wema peke yake, ivi wanenguaji wa bendi hamuwaoni? mamiss hamuwaoni, wasanii wa filamu hamuwaoni, jamani taifa letu limekosa kitengo cha ukemeaji? mimi nawasiwasi na BASATA kuwa wale viongozi watakuwa hawajatulia ndio maana wanapenda wanenguaji wakae uchi, sasa imefikia hatua wanakaa uchi wala hakuna anayekemea,si TAMWA wala TGNP hakuna anayekema udhalilishwaji wa mwanamke unaofanyika kila kukicha, na matokeo yake wamekuwa vinara wa kuzungumzia siasa. wananikera mimi hawa waliojipa dhima hii wanapouza sura kwenye vyombo vya habari na wakati masula nyeti ya kumomonyoka kwa maadili ktk jamii yetu hawaifanyi. kwa ufupi inakera. tunahitaji serikali itoe tamko ili sisi wenyewe wananchi tuwashughulikie
 
Haiwezekani kumsihi kunguru achukue hulka ya njiwa. Kunguru daima atabaki kuwa kunguru kama vile ilivyo kwa njiwa
.
 
Sambamba na wasanii wengi wa kike kuwa na tabia kama ya wema, huu ni muda mwafaka wa kubadilika na kujiheshimu
 
yule ni changudoa,kwa nini avae vile?jana alikuwa na kanumba,leo ana diamond kesho atakuwa na mwingine.Diamond angalia kaka,utaliwa kekundu!

Kekundu kendu wajinga ndio waliwao!!!! Nzega mwambie huyo Diamond....

Mr.Blue,TID,Hartman,Kanumba,Jumbe,chalz baba,Diamond???????? Guess what??????
 
Kekundu kendu wajinga ndio waliwao!!!! Nzega mwambie huyo Diamond....

Mr.Blue,TID,Hartman,Kanumba,Jumbe,chalz baba,Diamond???????? Guess what??????
Unajua list ya mkeo kabla yako wewe,mwacheni mdada wa watu hapo udenda unawatoka mtampata lini.
 
Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi mbele za watu but wema katika tamasha la fiesta Morogoro nguo aliyovaa ilikuwa inapanda kiasi cha kufanya sehemu ya chini ya makalio yake ionekane.....ilim'bidi kila mara awe anaishusha hiyo nguo, najiuliza sasa anaishusha kwa nini kwani alipovaa alitegemea nini? si akae tu hivyo hivyo ili watu wafaidi kuona makalio yake......@$%&^*Wema, UZURI WAKO UTAONEKANA TU HATA UKIVAA NGUO ZA HESHIMA, jiheshimuu! Mama mkwe wako (mamake Diamond) akiona hiyo picha unadhani atakuonaje? .....kiukweli umewaaibisha wanawake wenzio........
Hivi Diamond kakosa mtu wa kumshauri hadi aparamie Makahaba?
 
List sio issue kaka, tatizo kukaa uchi mbele ya kadamnasi mi nahisi kichwa chake sio kizima kuna external force


Unajua list ya mkeo kabla yako wewe,mwacheni mdada wa watu hapo udenda unawatoka mtampata lini.
 
Back
Top Bottom