TANESCO... Mgao ndo umeisha?

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Badra Masoud funguka mdada, tuambie wananchi kama mgao kwishnei au ni aje maana tunaona siku hizi umeme hatukatiwi....Ndo kusema bwawa Mtera limeshajaa au huu umeme watokea wapi??!!
 
Badra Masoud funguka mdada, tuambie wananchi kama mgao kwishnei au ni aje maana tunaona siku hizi umeme hatukatiwi....Ndo kusema bwawa Mtera limeshajaa au huu umeme watokea wapi??!!

Mgao umepungua Mkuu, nasikia Kikwete aliahidi kwamba wakati wa Mwezi wa Ramadhan kutakuwa na umeme wa kutosha, sijalisoma hili katika gazeti lolote la Tanzania nimesikia tu toka kwa marafiki.

[h=2]Rationing eased after IPTL switch-on[/h]

By Felister Peter

1st August 2011

Energy and Minerals minister William Ngeleja

Power rationing has eased as the government embarks on implementation of emergency plans including switching on the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) plant.
The plant which was producing only 10MW due to fuel problems is now running at full capacity, producing 100MW, Energy and Minerals minister William Ngeleja confirmed yesterday.
He told The Guardian over the telephone: “We have eased the rationing through implementation of emergency plans.”




 
Wanataka watupooze.ili bajeti ipite then waeendelee kuukata.

Hata mimi nahofia huu usije ukawa mchanga wa macho tu, bajeti ikishapita warudie tena na mgao wao wa kipuuzi. But hapo juu 'Bubu ataka kusema' ameweka article kutoka gazeti la The Guardian kuwa Ngeleja kasema wamewasha mitambo ya IPTL ili kupunguza mgao, inatoa 100 MW, SIJUI WALIKUWA WAPI KUFIKIRIA HILI SIKU ZOTE HIZI..... Kaaazi kweli kweli!!
 
Hapana, haujaisha. Umepungua kidogo, lakini utarudi pale pale baada ya bajeti ya Ngeleja kupita!
 
Back
Top Bottom