Recent content by Watchtower

  1. Watchtower

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kile ni Kisiwa na Vyema kikawa dependent kwa kila kitu kutoka bara ili siku kama ni wao au adui akitaka kuvitumia kuhujumu tunakata tu umeme mzee ns huduma zingine
  2. Watchtower

    Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

    History inaweza kuandikwa Mpango akawa Mkuu wa Nchi wa kwanza ambae hajawahi kuwa kwenye Ballot paper
  3. Watchtower

    Tony Blair, angel of Darkness yuko Zanzibar!

    Kwa ustawi wa jamii tunahitaji diversity mzee watu kama hao ni ingrident nzuri kwenye jamii, Niliwahi kumsoma Joseph Kony nikaona dunia inahitaji watu wa namna hio
  4. Watchtower

    Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Magufuli was Gifted, Nikiangalia SGR haieleweki inaanza lini namkumbuka sana Mzee uyu
  5. Watchtower

    Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

    Apone ili iweje ili aende wapi sasa kama mtu yupo above 90+, Ningekuwa mimi ndo huyo mzee ningeamua kuondoka tu kwa manufaa makubwa ya familia na Wajukuu zangu, Mzee kama huyo ni mbinafsi na Ana serve his own interest ndo mana unaona yupo above 90+ Still ana ngangania matibabu ya gharama, Mimi...
  6. Watchtower

    Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Mshahara kama huo unakuaje na familia aisee? Huo mshahara hata bachelor haumtoshi kabisa sembuse wewe mwenye Mke na watoto? Mnatoa wapi Nguvu ya Kuoa na Kipatao tia tia maji ivo, Ungekuwa mwenyewe ungepambana ila tayari una familia apo utaishi kama Shetani
  7. Watchtower

    Ethiopia Imekamilisha Kujaza Maji Bwawa lake Kubwa la Umeme. Ile Mikwara ya Egypt Kupiga Bomu Bwawa Imeishia Wapi?

    Kama sijakosea ni kuwa Egypt hakuzui Kabisa Bwawa lisijazwe isipokuwa alisema nilijazwe kwa Installment ili isije ika disrupt flow ya Mto nile
  8. Watchtower

    Mashirika ya Kimataifa yana faida gani nchini Tanzania?

    Namba ya nini tena mzee? Au unataka kutapeli watu
  9. Watchtower

    Arusha: Ukikutwa umevaa Suruali ya kubana, Sketi fupi Faini Tsh. 50,000

    Nimesikia Aibu mimi kwa niaba ya Waziri Dorothy Gwajima, Yani Waziri Mzima ana endorse hii taka taka kweli? Sheria za ovyo sana izo tunarudi nyuma aisee
  10. Watchtower

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kama wana mkataba na Mungu kuwa watafika 2026 Ni sawa
  11. Watchtower

    Kama MDDU Unit ya TANESCO ni Mali ya Maharage, Basi astaafishwe kwa manufaa ya Umma

    Erolink na Deloitte wameletwa na Maharage kama Consultancy Firms za Upigaji tu, Jamaa hakuamini kabisa System za Ndani ila pamoja na Ilo wamepiga sana na Makamba mpaka unawaza hii Nchi ina Vyombo vya ulinzi
  12. Watchtower

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Tanesco was too big for him, ila nilifurahi kuteuliwa Kuwa MD TTCL jamaa ana Experience na issue za Telecom since alikuwa Vodacom hata Taaluma yake ni mbobezi wa Electronics and Telecom, Ila maisha haya Maharage ametoka Kwenye shirika Kubwa sana Tanesco, Yani shirika lenye assets nyingi kitaa...
Back
Top Bottom