Mashirika ya Kimataifa yana faida gani nchini Tanzania?

bukenyaimo

Member
Oct 21, 2021
99
289
Kwa mwenye ufahamu wa hili naomba anisaidie kuelewa.

Kumekuwa na utitiri wa Mashirika ya Kimataifa nchini. Wiki iliyopita nilikuwa Kasulu na kuona msururu wa magari (Land Cruiser)za Mashirika mbalimbali ya Kimataifa Wilayani Kasulu. Je, yana faida yoyote kwa UCHUMI wa Wana Kigoma na Nch i kwa ujumla?
 
Naona tumepata msamiati mpya kwenye kiswahili "yanasaisfika!"
 
Kwa mwenye ufahamu wa hili naomba anisaidie kuelewa.
Kumekuwa na utitiri wa Mashirika ya Kimataifa nchini. Wiki iliyopita nilikuwa Kasulu na kuona msururu wa magari(Land Cruiser)za Mashirika mbalimbali ya Kimataifa Wilayani Kasulu,je yana faida yoyote kwa UCHUMI wa Wana Kigoma au ni mbwembwe tu
Mashirika hayo huko kasulu na kungonrko yameajiri watanzania wengi na kuwalipa kiduchu kinachowafanya watanzania hao wachangie kwenye uchumi wa taifa kwa kilipa kodi. Mashirika mengi yaliyo huko Kasulu yanatoa huduma kwenye kambi za wakimbizi na hivyo kuifanya serikali ipate pato la namna fulani maanackama sikosei, UNHCR wanatoa pesa kiasi fulaninkwa serikali kwa ajili ya kuwatunza wakimbizi hao.
Wako wanaojua zaidi juhusu jambo hili na qanaweza pia kuchangia mada hii.
 
Labda ni ya wakimbizi maana Kigoma ni miongoni mwa mikoa yenye wakinbizi wengi.
 
Yeah. Kigoma iko kwenye 'identity crisis'.
Tuliwahi kusafiri kwa treni kutoka Kigoma na housegirl. Kufika stesheni Dar, wote tuliruhusiwa kupita ila hg akazuiliwa mpaka alipoonesha kitambulisho cha mpiga kura ndipo wakamwachia.
 
Kwa mwenye ufahamu wa hili naomba anisaidie kuelewa.

Kumekuwa na utitiri wa Mashirika ya Kimataifa nchini. Wiki iliyopita nilikuwa Kasulu na kuona msururu wa magari (Land Cruiser)za Mashirika mbalimbali ya Kimataifa Wilayani Kasulu. Je, yana faida yoyote kwa UCHUMI wa Wana Kigoma na Nch i kwa ujumla?
Ukisikia misaada toka nje ni wao
Ukisikia mikopo yenye masharti nafuu ni wao
Ukisikia wafadhili ni wao
Ukisikia nchi rafiki wa maendeleo ni wao nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIONGONI MWA MASHIRIKA YA NJE YANAYOFANYA KAZI NCHINI IKIWEMO NA MKOANI KIGOMA NI SHIRIKA LA KIKOREA LINALOITWA GOOD NEIGHBORS. HILI SHIRIKA AJENDA YAO KUBWA NI KUENEZA USHOGA KWA WATANZANIA LIKIWAAHIDI WAKULIMA KUWAPA MISAADA YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA UVUVI LAKINI KWA SHARTI WAANDIKE BARUA KWAMBA WAO NI WASHIRIKI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA (MASHOGA).MKUU WAO WA SHIRIKA HAPA TANZANIA RAIA WA KOREA ALIWAHI KUFUKUZWA NCHINI NA SERIKALI NDANI YA MASAA 24 KUTOKANA NA TABIA HIYOHIYO YA KUENDEKEZA USHOGA ALIKUWA ANALAZIMISHA KUFIRWA,
SHIRIKA HILI LINA MAKAO MAKUU PALE BOKO CHAMA DAR ES SALAAM NA VIOFISI VYA MICHONGO MIKOANI.LINATUDANGANYA WANANCHI KUTUPA MISAADA HUKU LIKITUTAKA TUANDIKE BARUA KUOMBA MISAADA HIYO LAKINI TUANDIKE KWAMBA SISI NI MASHOGA,MKUU WA SHIRIKA HILO KWA SASA NI MMAMA MMOJA MKOREA ANAITWA SONI JUNG NAMBA YAKE YA SIMU NI 0785 105 850. NI SHIRIKA LINALOONGOZA KUHAMASISHA USHOGA NCHINI TANZANIA. HUKU KWETU UKEREWE TUKIWAONA MAOFISA WA SHIRIKA HILO HUWA TUNAWAPOPOA NA MAWE
Wewe ulifanywaje sasa, maana unayo number yake, mi naona manyoya tu hapa.
 
Nakumbuka ulivyofukuzwa kazi kwenye Hilo shirika kutokana na utendaji kazi hafifu pale ulipokuwa kwenye kitengo Cha uzalishaji wa mkaa mbadala katika kambi la wakimbizi Nyarugusu. Kwa sasa ulichobakiza Ni fitna juu ya shirika.
 
Wazungu wanatusaidia waafrika ili kuchukua baraka zetu wafanikiwe wao,mkono utoao ndio ubarikiwa
 
Mashirika hayo huko kasulu na kungonrko yameajiri watanzania wengi na kuwalipa kiduchu kinachowafanya watanzania hao wachangie kwenye uchumi wa taifa kwa kilipa kodi. Mashirika mengi yaliyo huko Kasulu yanatoa huduma kwenye kambi za wakimbizi na hivyo kuifanya serikali ipate pato la namna fulani maanackama sikosei, UNHCR wanatoa pesa kiasi fulaninkwa serikali kwa ajili ya kuwatunza wakimbizi hao.
Wako wanaojua zaidi juhusu jambo hili na qanaweza pia kuchangia mada hii.

Tunafurahia pesa huku hasara kuu ya wakimbizi kuingia nchini na kutoa Viongozi wa asili ya nchi zao hatuitazami......
 
Kwa mwenye ufahamu wa hili naomba anisaidie kuelewa.

Kumekuwa na utitiri wa Mashirika ya Kimataifa nchini. Wiki iliyopita nilikuwa Kasulu na kuona msururu wa magari (Land Cruiser)za Mashirika mbalimbali ya Kimataifa Wilayani Kasulu. Je, yana faida yoyote kwa UCHUMI wa Wana Kigoma na Nch i kwa ujumla?
Matatizo yanayozuka Tanzania na nchi za dunia ya tatu huziathiri pia nchi zilzoendelea. Hivyo wanapoamua kuzuia matatizo hayo huko yanakoanzia inawasaidia na wao pia. Kwa mfano ukiangalia usafirishaji mwingi wa madawa ya kulevya huanzia nchio za dunia ya tatu, na yakishafika nchi zilizoendelea inakuwa ni tatizo kwao. Biashara ya madawa ya kulevya hutokana na umasikini kwenye nchi za dunia ya tatu. Wazamiaji wanaosumbua nchi za ualya kwenye bahari ya mediteraniani hutokana na umaskini kwenye nchi za dunia ya tatu, hivyo nchi za ulaya zikiamua kuingialia kwenye kusaidia kupunguiza umaskini nchi za dunia ya tatu ni kwa sababu hiyo.

Hayo mashirika unayoona Kigoma, hayako Kigoma tu bali yapo dunia ya tatu yote.
 
MIONGONI MWA MASHIRIKA YA NJE YANAYOFANYA KAZI NCHINI IKIWEMO NA MKOANI KIGOMA NI SHIRIKA LA KIKOREA LINALOITWA GOOD NEIGHBORS. HILI SHIRIKA AJENDA YAO KUBWA NI KUENEZA USHOGA KWA WATANZANIA LIKIWAAHIDI WAKULIMA KUWAPA MISAADA YA PEMBEJEO ZA KILIMO NA UVUVI LAKINI KWA SHARTI WAANDIKE BARUA KWAMBA WAO NI WASHIRIKI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA (MASHOGA).MKUU WAO WA SHIRIKA HAPA TANZANIA RAIA WA KOREA ALIWAHI KUFUKUZWA NCHINI NA SERIKALI NDANI YA MASAA 24 KUTOKANA NA TABIA HIYOHIYO YA KUENDEKEZA USHOGA ALIKUWA ANALAZIMISHA KUFIRWA,
SHIRIKA HILI LINA MAKAO MAKUU PALE BOKO CHAMA DAR ES SALAAM NA VIOFISI VYA MICHONGO MIKOANI.LINATUDANGANYA WANANCHI KUTUPA MISAADA HUKU LIKITUTAKA TUANDIKE BARUA KUOMBA MISAADA HIYO LAKINI TUANDIKE KWAMBA SISI NI MASHOGA,MKUU WA SHIRIKA HILO KWA SASA NI MMAMA MMOJA MKOREA ANAITWA SONI JUNG NAMBA YAKE YA SIMU NI 0785 105 850. NI SHIRIKA LINALOONGOZA KUHAMASISHA USHOGA NCHINI TANZANIA. HUKU KWETU UKEREWE TUKIWAONA MAOFISA WA SHIRIKA HILO HUWA TUNAWAPOPOA NA MAWE
Namba ya nini tena mzee? Au unataka kutapeli watu
 
Tumieni akili,kwani mkiandika ndio mmekuwa mashoga? Andikeni tuu mpate msaada mbona huwa mnawaruhusu watoto kupigwa picha kuwa ni yatima ilhali mpo?
 
Kwa mwenye ufahamu wa hili naomba anisaidie kuelewa.

Kumekuwa na utitiri wa Mashirika ya Kimataifa nchini. Wiki iliyopita nilikuwa Kasulu na kuona msururu wa magari (Land Cruiser)za Mashirika mbalimbali ya Kimataifa Wilayani Kasulu. Je, yana faida yoyote kwa UCHUMI wa Wana Kigoma na Nch i kwa ujumla?
Kikubwa, ni, ajira, kwa locals, maana hili li nchi, CCM wameishalivuruga hawajuhi hata cha kufanya, samia, anachojua ni kuteua na kutengua,
Kijana anasoma udaktari kwa miaka 7! Anarudi kitaa Hana ajira, anaishia kuendesha bodaboda,
Ukiacha ujasusi unsofanywa na hayo mashirika kwa ajiri ya nchi zao, kikubwa wanatoa ajira Nyingi Sana kwa wa Tanzania,
MTU ambae anaonekana kama kilaza serikalini,
Akiajiliwa kwenye haya mashirika, kutokana na mifumo Yao iliyopo, atafanya kazi vzr na kwa ufanisi mkubwa Sana.
 
Kwa mwenye ufahamu wa hili naomba anisaidie kuelewa.

Kumekuwa na utitiri wa Mashirika ya Kimataifa nchini. Wiki iliyopita nilikuwa Kasulu na kuona msururu wa magari (Land Cruiser)za Mashirika mbalimbali ya Kimataifa Wilayani Kasulu. Je, yana faida yoyote kwa UCHUMI wa Wana Kigoma na Nch i kwa ujumla?
Hakuna muafrika hata mmoja anayeweza kujua na kukujibu sahihi hasara ya mbeleni ya kupewa misaada bila kuilipia, binafsi nafanya kazi za mashirika hayo hayo lakini naamini vitukuu vitalipa kwa jasho

Imagine, watu tunaenda kijijini kwa watu wanaokunywa maji na ng'ombe ktk sehemu moja, na kuchimba kisima kirefu + kupeleka mabomba ktk vijiji kama vitani mpaka sita, ghalama ya kama Milion 400- 500 na watu hawa hawa huku vijijini wanayakata mabomba na kutumia zile pipes kama kifaa Cha kuwekea mishale yao ya kuwindia, mradi unaendeshwa kuwa msuko suko mkubwa na baada ya kama miaka mitatu mpaka mitano mradi unakufa kabisa.

Na mfadhili anajua hilo, lakini analeta pesa zingine ktk vijiji vingine Kwa mradi wa namna hiyo hiyo!!! Think big kwamba mfadhili analenga nini?

Tafakari hili hapa Korea kusini leo hii inatoa misaa hapa Afrika kwa miradi ya KOICA, lakini Korea hii hii imetoka kwenye umasikini juzi tu, na idadi yao ya wananchi pia bado ni ndogo sana, lakini leo wanakuja na pesaingi kutupa Support, kuna nini? Ni pesa zao? Ni za America? Na kama ni za America why zinapita Korea??

Liko jambo kubwa baada ya miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom